Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,188
- 7,490
Narudia tena, tatizo letu watanzania nikuleta unafiki kwenye mambo serious,
Kwa haya nambo yanayotekea, unakuta eti mtu msomi kabisa anajenga hoja kuwa wahusika ni tiss kisha anakuja na proposal kuwa ifumuliwe iundwe upia lakini hajibu maswali haya:-
1.muundo wake kwa sasa ukoje na ni kwa vipi unachangia matatizo yaliyopo?
2. Ikishafumuliwa iundwe je, na ni kwa vipi huo muundo mpya utakuwa na ufanisi kuliko wa sasa na kwa nini hautaleta shida kuliko uliopo.
3. Kwa nini sasa hivi iko kama ilivyo, na pamoja na hivyo ilivyo serikali inatetea iendelee kuwa hivyo hivyo? Na kwa nini wabunge wengi wa ccm wanatetea yanayotokea na hali ilivyo?
4. Kama serikali iliyoko madarakani inaamini kuwa kinachofanywa na taasisi hiyo ni sawa, na wabunge wa ccm wanaitetea always, ni kwa vipi muundo wake unategemewa ubadilike?na ni nani hasa wa kuubadilisha?
Na swali kubwa kupita yote ni kuwa je, idara hiyo ni huru na inajiamulia tu kufanya amma hili au lile au inakuwa tiifu kwa viongozi wanaokuwepo?
Ni hivi, tuacheni kupotezeana wakati tukijifanya hatujui na wakati tunajua. Hata taasisi ya serikali iwe na muundo kutoka mbinguni, hakuna namna ambavyo inaweza kufanya kazi bila kuwatii kikamilifu viongozi walioko madarakani kwa wakati huo. Kinyume na hapo hiyo ni " insubordination" na katika sayansi ya siasa na mambo ya utawala, hakuna chombo kinachoweza kufanya mchezo huo hata kiama, na atakayefanya, hawezi kuachwa kubakia sehemu ya serikali hiyo kokote duniani, and this is very clear!
Hivyo basi, iko hivi: kama nchi yeyote ile ikiwa na viongozi wazuri, wenye utu, wakarimu, wenye huruma, wapenda maendeleo, haki, ustaarabu n. K, obviosly, inategemewa kuwa vyombo vyote vya chini yake navyo vitaji behave hivyo hivyo na kinyume chake, na jambo hili ni jepesi sana kueleweka. Na hiyo iko hivyo bila kujali nani anapenda nani hapendi.
Kwa mfano hata watu tunapoilaumu polisi, ishu si muundo hivyo kuivunja na kuiunda upya, ishu ni aina ya uongozi na watu waliomo humo ndani. Kwani kwa mfano askari anapoamua kumbambikizia mtu kesi, ni sababu ya muundo wa polisi, au ni uhuni tu wa askari husika na wanaoshirikiana naye? Tuacheni kuzungukia jamani, twendeni kwa point.
Nini cha kufanya sasa: solution ni moja tu, kuhakikisha kama taifa tunakuwa na viongozi bora. Swali je mtaani kwenye jamii zetu tuna watu bora kukiko hawa wanaotuongoza? Kama jibu ni ndio, swali dogo la nyongeza, sasa kwa nini hawa wanaotuongoza ndio wanaotuongoza? Hao wenye ubora zaidi ya hawa wako wapi, wanafanya nini na kwa nini wako huko waliko! Majibu ya mambo haya ndio suluhu ya msingi ya kutupeleka mbele, lakini tumekuwa tukikwepa kuyajibu kila mara na sababu ya kuyakwepa, kila mtu anaijua ndani ya nafsiye.
Iko hivi, (na hili tunalisema mara kwa mara) kuwa serikali kwa ujumla wake haina ubaya wowote, waliomo mle ndio huifanya kuwa nzuri au mbaya, na waliomo mle ni sampuli kutoka kwa jamii yetu ya kitanzania, yaani ni reflexion ya watanzania tulivyo. Na ndio maana jinsi atakavyokusikiliza na kukuhudumia mkuu wa mkoa A Kwa mfano, sivyo atakavyo fanta wa mkoa B n.k, hili ni suala la tofauti za aina ya watu tulionao na si serikali kama taasisi.