Mnaopinga lockdown kuna vitu mfikirie kwa mapana

Hiyo hoja uliyoitoa kwenye Aya ya pili hapo mbona hujaitolea majibu,
ndo unawaambia wajikinge korona wafe na njaa,
Au ndo kama polisi wa Kenya wanaoua raia kwa vipigo ili tu wasife kwa korona.
kipi bora kufa maskini ukiwa maarufu au kufa tajiri bila umaarufu
 
hao wataalamu wa afya hasa mawazir kutibiwa kwao ni chaguo la kwanza ila ww sasa utawekwa kwenye mfuko wa plastik piga mishe mzee baba unafikir Usa,Italy na Spain mkuu hamna wataalamu wa afya?
Siwezi wekwa kwenye mfuko wa plastiki na napiga kazi na tahadhari pia nazingatia.
Hizo nchi ulizotaja wapo lock down na bado wana hali mbaya zaidi ya jana kila uchwao.
Ugonjwa hapa tz una zaidi ya miezi 4 ila haujaleta madhara makubwa kama nchi ulizozitaja kikubwa bado tahadhari ni muhimu na tutatoboa bila lock down.
Kaa lock down mwenyewe hatuhitaji huruma yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
waitalia walikuwa watata kama ww saiv wapo kimya maana zile sehem walizokuwa wakienda kupata huduma jamaa zao wamekufa
Italy na bongo ni tofauti.tazama italy ugonjwa ulianza kuingia muda gani na kuanza kuleta athari za kuuwa watu kwa mamia.
alafu tazama na hapa tz ugonjwa mpaka sasa una muda gani na ushauwa wangapi.
Alafu tafuta sababu ni nini utagundua tofauti ya italy na tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we unaongea tu au unaandika tu?! hivi unajua kuna watu wanahitajika daily

afanye biashara asifanye,atoke home asitoke,aumwe asiumwe,afiwe asifiwe

kwa siku anatakiwa a save 50,000,hiii 50k si ya chakula wala mavazi ni hela

ya uwepo wake mjini Kodi za nyumba/frem/nk hivi umwambie huyu mtu akae ndani

hiyo 50k ataitoa wapi? unafikiri wenye nyumba wanaelewa cha lockdown au lockup?

Tarehe ya kodi ikifika wanataka chao Kama huna achia frem,achia nyumba hiyo,THINK.
Mwezi mmoja uliopita (siku kama ya leo mwezi jana) athari za hili janga zilikuwa zinalinganishwa na vita kuu ya pili ya dunia, Mwezi mmoja baadae wanasema huenda athari zake zinapita za WW2 ikiwa na maana kuwa katika watu wote tunaoishi sasa hakuna hata mmoja aliwahi kufanya hata simulation ya ni kipi kingekuwa hivi.
Miaka 100 iliyopita hakukuwa na hivyo vya sijui 50K au wenye nyumba, waliojaribu kuwaza kama wewe ni kama Italy na kawaulize! Trump mwenyewe alidhani pesa na kiburi vingemaliza hili tatizo lakini unamuona.
Hebu waza kama hii ni dunia mpya tayari na ndio maana wanakwambia baada ya corona dunia tayari ni nyingine sio ile tulioizoea.
Kwa hiyo hii mizaa yetu na kukosa maarifa itatufanya hata tusiione "hiyo dunia mpya" japo umri unaturuhusu
 
Nyie chadema kaeni lockdown

Sisi Watanzania tuliowengi tunakusikiliza maneno ya Rais wetu Magufuli

Tunachapa kazi

Ila ikifika mavuno msianze kusema serkali iwagawie chakula

Sent using Jamii Forums mobile app
Yanatusumbua kweli hata huku kwenye magroup ya Whatsapp... Lockdauni Lockdauni lockdauuuni... Kwani mtu unalazimishwa kutoka nje, jifungie tu kama unataka... Usikute wanaomba hata vifo viongezeke fasta wapate hio lockdown yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwani shida ipo wap? ww ji lockdown uiponye nafsi yako. Ukifa/ akifa mtu haipotezi maana.
Kifo kipo lkn unakufaje?
Sahv kila mtu anapigania nafsi yake ndo Asili ya Dunia ni yakipekee( unazaliwa peke yako na unakufa peke yako) sio dunia ya kijumuishi!
 
Mwezi mmoja uliopita (siku kama ya leo mwezi jana) athari za hili janga zilikuwa zinalinganishwa na vita kuu ya pili ya dunia, Mwezi mmoja baadae wanasema huenda athari zake zinapita za WW2 ikiwa na maana kuwa katika watu wote tunaoishi sasa hakuna hata mmoja aliwahi kufanya hata simulation ya ni kipi kingekuwa hivi.
Miaka 100 iliyopita hakukuwa na hivyo vya sijui 50K au wenye nyumba, waliojaribu kuwaza kama wewe ni kama Italy na kawaulize! Trump mwenyewe alidhani pesa na kiburi vingemaliza hili tatizo lakini unamuona.
Hebu waza kama hii ni dunia mpya tayari na ndio maana wanakwambia baada ya corona dunia tayari ni nyingine sio ile tulioizoea.
Kwa hiyo hii mizaa yetu na kukosa maarifa itatufanya hata tusiione "hiyo dunia mpya" japo umri unaturuhusu
hauwezi ukawa unajali wengine zaidi ya kujijali wewe zaidi.

hivi mnadhani ni kwanini mawazo yenu yanaonekana yana mlengo wa kisiasa!!!sababu ni kama hivi,kwa sasa sifahamu unaandika ukiwa wapi ila najua kabisa upo na jamaa zako hapo mnapiga soga,kabla jua kuzama ukalale kesho uamkie kutafuta riziki.kwanini usilale tu,tena wakati huu hakuna wa kukuuliza kwanini umelala!!!au unadhani boss wako atamudu kukulipa ukiwa huingizi kitu kwenye kampuni yenu!!!!never bro.wengi wenu mnawaza kulala mlipwe kama marekani,mmesahahu hapa ni mpg country sio 4K country mazee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siwezi wekwa kwenye mfuko wa plastiki na napiga kazi na tahadhari pia nazingatia.
Hizo nchi ulizotaja wapo lock down na bado wana hali mbaya zaidi ya jana kila uchwao.
Ugonjwa hapa tz una zaidi ya miezi 4 ila haujaleta madhara makubwa kama nchi ulizozitaja kikubwa bado tahadhari ni muhimu na tutatoboa bila lock down.
Kaa lock down mwenyewe hatuhitaji huruma yako.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ugonjwa gani mkuu wenye zaidi ya miezi 4 Tanzania?

Isije kuwa unachanganya dengue na Corona?

Uliza kote, Corona baba lao.
 
hauwezi ukawa unajali wengine zaidi ya kujijali wewe zaidi.

hivi mnadhani ni kwanini mawazo yenu yanaonekana yana mlengo wa kisiasa!!!sababu ni kama hivi,kwa sasa sifahamu unaandika ukiwa wapi ila najua kabisa upo na jamaa zako hapo mnapiga soga,kabla jua kuzama ukalale kesho uamkie kutafuta riziki.kwanini usilale tu,tena wakati huu hakuna wa kukuuliza kwanini umelala!!!au unadhani boss wako atamudu kukulipa ukiwa huingizi kitu kwenye kampuni yenu!!!!never bro.wengi wenu mnawaza kulala mlipwe kama marekani,mmesahahu hapa ni mpg country sio 4K country mazee.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu subiri lichanganye unadhani namba hudanganya?

Weka tu kumbukumbu ya nini uliwahi kuandika.
 
Kuna watu wanapinga lockdown bila kuwaza kwa mapana na marefu wengine hili jambo wanalichukulia la kisiasa badala ya kutazama athari kwa nchi na maisha ya wanyonge.

Hapa vijana wengi wanakuja na hoja mfu kwamba tutakufa kwa njaa wakati wanajisahau wanazunguka kila kona kusaka hizo hela ambazo zinapelekea kulieneza hili gonjwa anbapo sasa yawezekana mtaa, kijiji,wilaya au mkoa utokao waweza kukumbwa na maambukizi mengi kupitia wewe kisha shughuli nyingi zitakwama wote mkawa wagonjwa mkajipiga lockdown ya ugonjwa bila kujijua na kupelekea vifo jambo ambalo ni hasara kwa nchi maana pesa wanazo kusanya kipindi hiki zikatumika ktk kuwakimbiza nyie wabishi mahospital.

Nafikir tuvumilie kidogo kuliko kuendelea kuusambaza huu ugonjwa serikali iamue sasa ktk hili hambo ##LOCKDOWN haikwepeki
Kungekuwa na mantiki ya kuacha wazi bila lockdown kama kungekuwa na upungufu wa maambukizi sasa yanazidi kupanda hapa tunafanya nini?

Hata hizo pesa zinazokusanywa sasa hivi zitaishia kwenye mafuta na kuhudumia wagonjwa ambapo mambo mengine bado yatasimama tu.

Vijana tuokoe watoto wazee ndugu na jamaa na sisi wenyewe tuache ubishi.
Mbn marekani Kuna lockdown wanakuf watu 4000 per day? Usituchagulie Aina ya kifo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbn marekani Kuna lockdown wanakuf watu 4000 per day? Usituchagulie Aina ya kifo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisema hivyo utaambiwa ni kwa sababu walichelewa kufanya lockdown kwmba Trump alifanya uzembe,ila cha kushangaza huko ulaya watu wanakufa tu hata nchi ambazo hazitajwi kuwa zilchelewa au kufanya uzembe kama Marekan Italy na Spain.
 
Nyie chadema kaeni lockdown

Sisi Watanzania tuliowengi tunakusikiliza maneno ya Rais wetu Magufuli

Tunachapa kazi

Ila ikifika mavuno msianze kusema serkali iwagawie chakula

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii speed si ya kitoto, acha bange
 
Attachments

  • IMG-20200417-WA0068.jpg
    IMG-20200417-WA0068.jpg
    49.7 KB · Views: 1
Back
Top Bottom