Mnaopenda kujipulizia manukato makali, wenzenu mnatukwaza

spray

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
277
241
Wajameni,

Yani kuna watu wanapenda kupuliza unyunyu sana yani mbaya zaidi unakua na ile harufu kali, jamani yaani sie wenye allergy tunateseka hatari..!

Yaani omba usikae naye siti moja kwenye chombo cha usafiri akianani utaisoma namba na mbaya zaidi chombo siti zote ziwe zimejaa...

Sehemu nyingine kanisani,.imenikuta kama mara tatu nakaa na mtu kapulizaa yaani nakumbuka kama mara mbili hivi nilihama siti, maana utapigaje chafya, hamu yote ya kusali inakatika...

Tupakeni manukato yaliyotulia wajameni au deodorant tu inatosha...kiukweli tunakwazika yani..

Spray

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu ukijipulizia nying kupita kiasi harufu inakuwa mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna moja inaitwa kuluthum sijui ni hivyo ila ina sound kama hivyo,.aiseee siwezi kukaa na mtu amejipulizia hiyo ndude aisee...na kuna zingine jamanii ni mbayaaa sijui ni marashi ya kuzimu looh😣😣
 
Back
Top Bottom