Mnaoowana kesho nawatakia ndoa njema na talaka hafifu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnaoowana kesho nawatakia ndoa njema na talaka hafifu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Apr 23, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,351
  Likes Received: 5,653
  Trophy Points: 280
  Kwa mara nyingine tena
  Napenda kuwatakia heri wana ndoa wote wanaoatarajia
  kuona siku ya kesho kwa niaba ya familia yangu nawatakia
  maisha mema ndoa yenye furaha kama yangu baraka za wattoto
  ziwaangazie ukipata mtoto usisite kumuita PDIDY jr ,
  Kumbukeni Upend,heshima,kusaidiana,kuelimishana,upole,utulivu
  na mengine mengi ndio yatakayohifadhi ndoa zenu else mtawapa shida
  wazazi wenu kwenye vikao visivyo na maana kama si kuwatesa mahakimu
  kuvunja ndoa ya wiki mbili.....Natangaza kutokuwa na Talaka maishan mwenu
  Natangaza Pepo la UTASA Lishindwe kwenye maisha yenu in jesus name

  Furaha ikawe mlangoni mwenu Daima..kumbukeni wazazi ,walezi
  msikubali kutoa nafasi kwa familia zenu kuingilia ndoa zenu hasa ma WIFI Na MASHEMEJI

  Tatizo lolote la ndoa linatatuliwa na wanandoa msijidanganye kukimbilia marafiki ndugu
  hata wazazi wenu ninyi ndio waamuzi a.k.a Othman Kazi....msiwape shetani nafasi
  kumbuka ewe baba ewe mama umetoka maisha tofauti unakut mtoto wa watu amelelewa tofauti inachukua muda kuwa pamoja uvumlivu kitu muhimu kwenu...kesi za kijinga jinga ziishie mlangoni mwenu

  Mwisho kabisa msisahau kusoma thread yenu ya MAHUSIANO/MAPENZI/URAFIKI kupata yale nyeti ama utundu zaidi unaoweza kumfanya mwenzio akaishia chumbani hata kusahau muda wa kazi....Mkifikisha miezi mitatu ujue imeanza kunawiiri mwombeni MOD wetu awape nafasi kwenye mambo ya kkubwa kule hata aibu itakuwa ishawatoka...usiache kumfanyia mwenzio utundu wowote unaojua akuna wa ziada zaidi yako......

  angalia asije akawa kafanyiwa operation karibuni itakuwa nje ya uwezo wa JF ,mod na members zake

  Kila kheri
  Nawatakia
   
 2. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  naungana na ww mkuu na iwe hivyo in jesus name
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,351
  Likes Received: 5,653
  Trophy Points: 280
  Hivi vikao na talaka za mahakamani kila siku tumechoka kabnisaaaaaaaaa
   
 4. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Pdidy (Today 06:11 PM 23/04/2010) unamaanisha kesho, kesho Jmosi 25/04/2010??

  Kila la kheri kwao, lakini nkama kawaida yetu..labda tungekusikia tena nawe ukisimama na kutoa nasaa zenye ushuhuda katika ndoa yako..labda hukajwai hata kumkaripia kidgo mama au kumchapa kipao ukiwa umejisahau kwa hasira?? manake nasaa za badhii ya wazee huwa zimejaa vituko siku ya ndoa..akijua kabisa mwanae anafahamu kuwa wazazi waliachana longtime kwa ghubu la mmoja wao, na wameunganishwa tu kwa siku moja katika harusi ya mwana wao, mzazi wa kiume huyo anasimama na kusema; "Mimi na Mama yako umeona tulivyoishi vizuri...sijawahi hata siku moja kumchapa kibao..na mwenyewe huyu hapa anaweza kushuhudia..Mama anajibu: kweli baba..

  Haya nayo tuweze kujifunza, pengine inapobidi kudanganya jamii tuidangaye kwa maslahi ya kulinda uhusiano, hata tukigombana chumbani, wageni wakifika sebuleni yatupasa kucheka na kukumbatiana, kama tulizoea mabusu mbele ya jamii ni vizuri tusiache hata tukigombana tudumishe hilo.
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,351
  Likes Received: 5,653
  Trophy Points: 280
  Ngoshwe
  nina ka ngo cha kurekebisha ndoa za watu naomba uungane nami
  kama mshauri...malipo wasipoachana mungu atatubariki
  nimefurah wazo lako kwangu m labda ukuwahi kupitia thread
  moja wapo nilielezea mapito yangu mpaka tukaja kupata shida kuhsu mttoto wakongea wakapanda wakashuka walivyoweza kifupi
  tarehe 10april nimeanza kuitwa baba labda mungu akipenda miaka 22 ijayo naweza kitwa mkwe tuombeane
  maana siku hizi wanwawahi mapema mapema
   
 6. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #6
  Apr 23, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Asante sana
   
 7. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Sawia mzee.

  Kazi ya jamii haihitaji malipo makubwa ni "uwezeshaji tu" kujitolea. Kila la kheri katika kazi hii muhimu. Ndoa nyingi inaonekana sasa zinafungwa kwa maigizo makubwa na wengi huwa wanataka kujifunza wakishaingia maisha ambayo hawakuyatarajia lakini MUngu wa Ajabu, mistari yake inabana katika mahusiano ya ndoa kiasi kwamba kama si hilo nyingi zingeishia kubaya manake wapo watu husema "wewe kama isingekuwa ndoa ya kanisani, singevumumilia vitendo vyako" . Hakika dini ndio inafanya wanandoa wengi hata kuofia kutoka nje ya ndoa, binafsi mamsapu nshamsogeza kanisani long ili awe mzee wa kanisa kule madhabahuni:  NGO itafanya vizuri, ndoa ni mke na mume, ndoa ni familia, ndoa ni jumuiya ndoa ni kila kitu katika maisha.

  user14865_pic851_1263418133.jpg

  sala0.jpg
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Apr 23, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,351
  Likes Received: 5,653
  Trophy Points: 280
  mungu akubariki mpendwa
  tutaijitahidi tutakavyoweza nia ni kurekebisha na kuzisimamisha ndoa zilizolega lega kwa ufupi
  aim ni washauri wa ndoa legevu
   
Loading...