Mnaoondoka CCM na kutupa maneno jifunzeni toka kwa Rais Joao wa Angola


S

shige2

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Messages
7,231
Likes
3,466
Points
280
S

shige2

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2016
7,231 3,466 280
Historia humfundisha mtu yeyote yule. Na mtu asiyekubali kujifunza kutokana ma historia hupewa jina ambalo SITALITAJA.

Kwa siku kadhaa sasa kumekuwa na mirindimo na ukwasi kwamba watu mashuhuri kutoka kwenye chama tawala CCM HAWARIDHIKI na wala HAWAFURAHISHWI jinsi rais Dr JPM anavyokiendesha chama na serikali yake.

Kwanza mimi SI msemaji wa CCM bali ni MCHAMBUZI/PUNDIT tu.
SI kwamba Dr Magufuli hana MAPUNGUFU, ila la MUNO si kuangalia KIASI cha mapungufu yake maana HAMNA mtu ASIYEKUWA nayo.

Ushauri wangu kama mwananchi VIJIJINI ni kuwa, KUKIHAMA chama si SULUHISHO na huleta political OBLIVION/KUSAHAULIKA kisiasa kabisa.

Naomba TUJIFUNZE toka kwa RAIS wa sasa wa ANGOLA ndugu Joao Laurenco.

Rais mtaafu wa Angola Do Santos alitoa MTEGO fulani akasema "Yeyote yule ambaye
angetaka kuwa RAIS baada ya yeye KUSTAAFU akiwa ameiongoza nchi hiyo kwa zaidi ya miaka 30 na yuko tayari ANAWEZA kugombea URAIS."
Huku akijua ni nini anachokifanya!!!!

Joao akaingia MKENGE akasema "MIMI nataka niwe RAIS"

Hapo hapo Rais msaafu Dos Santos akaona AMBITIONS/UCHU wake wa Madaraka na mwisho AKAVULIWA mamlaka yake na kubaki MWANACHAMA wa kawaida tu kwa muda wa MIAKA 10.

Joao Laurenco HAKUTOKA CHAMANI na kujiunga (WAPINZANI) . Ila ALIBAKI ndani ya CHAMA chake.

Rais Dos Dayaos akaona kuwa huyu SI mtu MBAYA kama alivokuwa AMEAMBIWA.
Mwaka ay 2012 rais Dos Santos akaona huyu SI mtu wa KUTANGATANGA. Akampa kuwa WAZIRI wa ULINZI. Nyota yake ikaanza kung'aa.

Na kabla ya RAIS do SatoHAJHAJAACHIA mamlaka aka PROPOSE Joao awe MRITHI wake KISIASA.

Ni VIZURI sana WANASIASA wa CCM na wa VYAMA vingine WAIGE mfano huu .
Maana MVUMLIVU hula MBIVU. Na HASIRA ni HASARA!
 
DuppyConqueror

DuppyConqueror

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2014
Messages
9,156
Likes
4,423
Points
280
DuppyConqueror

DuppyConqueror

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2014
9,156 4,423 280
"Kwa mafisadi waliosalia CCM.....UKAWA ya Lowassa ni heri kuliko CCM ya Magufuli"- M.M Mwanakijiji (Operesheni Zinduka-October 2015)
 
S

shige2

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Messages
7,231
Likes
3,466
Points
280
S

shige2

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2016
7,231 3,466 280
Mmeona watu wamechoka kupelekwa kama watoto mnaanza ushauri nasaha kwa waliochoka na kuamua kuondoka, tena huku wakizungumza mapungufu waziwazi.
Si kwamba TUME/WAME choka bali huo ndo ukweli.
 
S

shige2

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Messages
7,231
Likes
3,466
Points
280
S

shige2

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2016
7,231 3,466 280
Mmeona watu wamechoka kupelekwa kama watoto mnaanza ushauri nasaha kwa waliochoka na kuamua kuondoka, tena huku wakizungumza mapungufu waziwazi.
Tindo nilifikiri umepata network kumbe bado?
 
S

shige2

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Messages
7,231
Likes
3,466
Points
280
S

shige2

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2016
7,231 3,466 280
"Kwa mafisadi waliosalia CCM.....UKAWA ya Lowassa ni heri kuliko CCM ya Magufuli"- M.M Mwanakijiji (Operesheni Zinduka-October 2015)
Sikubaliani nawe mkuu.
 
K

kiatu kipya

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2016
Messages
3,287
Likes
1,936
Points
280
Age
30
K

kiatu kipya

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2016
3,287 1,936 280
Wauji?-Si kweli
Mafisadi?- Kila mtu abebe msalaba WAKE.
WACHAWI- Sijakuelewa la sivyo udhibitishe.
Kila kitu si kweli tupe ukweli wake tatizo la waanzisha mada Jf wanataka mawazo yao zaidi kuliko ya watu wengine kubali kwa hoja sasa
 
S

shige2

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Messages
7,231
Likes
3,466
Points
280
S

shige2

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2016
7,231 3,466 280
Mmeona watu wamechoka kupelekwa kama watoto mnaanza ushauri nasaha kwa waliochoka na kuamua kuondoka, tena huku wakizungumza mapungufu waziwazi.
By the way sishauri bali ni UKWELI!
 
chimbendenga

chimbendenga

Senior Member
Joined
Sep 25, 2017
Messages
121
Likes
48
Points
45
chimbendenga

chimbendenga

Senior Member
Joined Sep 25, 2017
121 48 45
Mmeona watu wamechoka kupelekwa kama watoto mnaanza ushauri nasaha kwa waliochoka na kuamua kuondoka, tena huku wakizungumza mapungufu waziwazi.
Mbona hao wanaoondoka CCM kwenda CDM hawasemi mapungufu yao, kwa Yale waliyoyatenda? Au hao walikuwa kila wanachokifanya ni kizuri si cha kuhudhi wengine kwa kutumia madaraka waliyopewa?
 
Counsellor Sima

Counsellor Sima

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2016
Messages
343
Likes
332
Points
80
Age
48
Counsellor Sima

Counsellor Sima

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2016
343 332 80
Na mtu akitoka kimya kimya akahamia anakohamia sijui anakosa nini, kutapa tapa tuu kusikokuwa na faida, watu wafanye kazi, sio maneno tu.
 

Forum statistics

Threads 1,250,252
Members 481,278
Posts 29,725,783