Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,857
- 7,615
Airtel waongo sana... In short kama wamechoka hivi wanasubri kubadili jina tu.. Sijui watajiitaje..(????). ..
Jina hilo lazima liwe RizimojaJeikei
Airtel waongo sana... In short kama wamechoka hivi wanasubri kubadili jina tu.. Sijui watajiitaje..(????). ..
Diiiih!! Jombaa ulitisha, si kwa majaribio hayo!!Kuna kipindi nilinunuaga sony xperia z2 duka la Airtel haohao pale Mlimani city..
Nikaambiwa hii simu ni "Water proof" ndio kilichonivutia...
Nikafika nyumbani baada ya setings zangu nikadumbukiza kwenye maji kuitest..
Hazijaisha sek10 ikazima..
Nikarudi Airtel nawaambia How come mmeniambia simu ni water proof nimeiweka kwenye bakuli la maji. Ikazima..
Eti wakaanza kuniuliza "kwanini uliweka kwenye maji.?hii ni version ya dubai haina water proof"..
nikawaambia wanbadilishie wakagoma katakata..
Wakasema labda wanitengenezee kwa gharama zangu Tsh50000 kwa fundi wao..
Nikakubali..walipomaliza kutengeneza wakanipa niikague nikaichukua nikaanza kuondoka kakanikimbilia ka kahaba kamoja mpka mlangoni.mkwara niliompa nahisi haji kunisahau..
Airtel wapumbavu sana ,nadhani kwa kampuni za simu zenye huduma mbovu lazima watakuwa namba moja,ukiunganisha kifurushi halafu ukipiga ,unaambiwa huna salio ila ukiangalia dakika na sms unaziona,Kuna watu wengi wanangojwa..(professionals) mfano. Doctors, Teachers n.k..na hawaringiringi...lakini ukija kwa hawa ambao wao ndio wanangoja watu kama bank tellers, customer care n.k (waiters &waitresses excepted) wana nyodo kinyama.