Mnaonunua magari kutoka kwa Johansen Buberwa kuweni makini mkono wa sheria waja

Dj Composer

Member
Apr 3, 2019
24
43
WENZANGU NAMIMI NI KWELI TUNAKUTANA JAMIIFORUMS BILA KUJUA VITENGO VYA WATU NA WADHIFA WALIO NAO, NA WENGINE WANAINGIA KAMA UWAGENI WASIO NA USAJILI

Nimeamua kuwadokeza suala hili kwa kina kuna mchezo mchafu wa kukwepa kodi kwenye magari yanayoingizwa nchini kwa kucheza na mipaka ya nchi kuna member wawili hapa tumeshashirikiana katika hili, na kubaini mchezo mzima wa jinsi jama na wanaohusika wote wanavyocheza mchezo mchafu

1.Kuanzia kufoji BIMA za magari

2.Usajili wa magari wanabandika plate number tu bila kufuata usajili kamili hivyo existence of two cars in the road with the same numbers while kwenye system moja ndo imesajiliwa( wanaweka tu plate number) japo kwa siku za hapa karibuni nimeona wanaowasajilia wote wanakuwa na mtihani wa kuyatumia magari mchana kwenye maeneo ambayo kuna ukaguzi wa hatari

3.Wanakwepa kodi ya magari kupitia mipaka ya nchi, Kwa mchezo wao huo

Tumepata mawasiliano yao na watu ambao wameshafanya biashara hiyo fake kwa muda mrefu, tumeweza kunyonya kwenye database yao ya mawasiliano na mzigo upo kwenye flash, na kingine hata magari yote waliyosajili kwa njia za ujanja yako hadharani hakuna kificho tena,

4.Tumepata mawasiliano ya watu wanaomdai pia ambao kawadhulumu kupitia kuwaaminisha angewasajilia magari kwa njia rahisi, hivyo mkono wa sheria lazima uwakumbe wote hao,

Jumatatu tunaanza kuyakamilisha baadhi ya majalada na kuweka mambo sawa,

Mimi Composer

NI MCHEZO MCHAFU SANA
 
Jamaa anaitwa Johaness siyo Johanseni , kwake ni Tabata Saanene, ana mtandao mkubwa sana na wanaomdai ni wengi, kuna jamaa yangu alimdanganya kumuuzia Alphard kwa bei chee alichofanya akala hela tu na hakufanya hivyo, sijui walimalizana au lah, ofisi zao zipo Posta wala ye pale hayupo kihivyo sema anajiweka ili awapige watu, ni mkabala na EXIM bank,
yeye mara nyingi namuonaga kwenye kusafirisha magari ni kama TT
 
Ngoja waje wanaomjua kiundani wafunguke zaidi tumjue , na hatua sitahiki zitachukuliwa dhidi yake, ikibainika ni muhalifu
 
jamaa anaitwa Johaness siyo Johanseni , kwake ni Tabata Saanene, ana mtandao mkubwa sana na wanaomdai ni wengi, kuna jamaa yangu alimdanganya kumuuzia Alphard kwa bei chee alichofanya akala hela tu na hakufanya hivyo, sijui walimalizana au lah, ofisi zao zipo Posta wala ye pale hayupo kihivyo sema anajiweka ili awapige watu, ni mkabala na EXIM bank,
yeye mara nyingi namuonaga kwenye kusafirisha magari ni kama TT
Halafu kesho ukichukuliwa na vijana wa Mbowe unasingizia 'wasiojulikana'
 
jamaa anaitwa Johaness siyo Johanseni , kwake ni Tabata Saanene, ana mtandao mkubwa sana na wanaomdai ni wengi, kuna jamaa yangu alimdanganya kumuuzia Alphard kwa bei chee alichofanya akala hela tu na hakufanya hivyo, sijui walimalizana au lah, ofisi zao zipo Posta wala ye pale hayupo kihivyo sema anajiweka ili awapige watu, ni mkabala na EXIM bank,
yeye mara nyingi namuonaga kwenye kusafirisha magari ni kama TT
may be lakin wanaolalamika wameleta jina hilo kama Johansen
 
Jamaa Tapeli sana ili nalijua linapenda kukaa baa ya pale baracuda Tabata , limemliza mke wangu likaenda kutembea dubai, linashirikiana na baadhi ya walimu wa Tusiime
Haroo arafu mnariachia tu hivihivi kama ri Rais! Ka mumerishindwa kurikabizi geshi ra porisi unariroga tu😃😃😃
 
Rahisi Ni ghali kwa Nini ukubali rahisi Alphard Bei zinajulikana we unaambiwa 8m kutoka Japan unalipia
 
Members wngi wa JF wanapenda slope kitonga Ganda la ndizi
Lazima wapigwe
Na kupenda kwao urahisi acha wapigwe tu

Ova
Hivi huwaga ni mteremko au kutofahamu channels?

Maana unaweza kuwa mpenda kufuata sheria, lakini ukaja kulizwa na wajanja kwa kutokuelewa kwako itifaki hadi ukashangaa.

Sidhani kama kuna mtu kapata hela yake halali, halafu aishie kufanya manunuzi hovyohovyo, yasiyoeleweka!

Ni vyema unapotaka kufanya manunuzi ya kitu chenye thamani kubwa, lazima upate mtu mzoefu mwaminifu katika kada hiyo ili akuelekeze vizuri hatua za kufuata.

Vinginevyo aheri ubakie na fedha zako mfukoni kuliko kuingia kichwakichwa kwenye madhila ya matapeli kwa kigezo cha kupata nafuu au kwanjia ya mkato.
 
Back
Top Bottom