Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,431
Anabadilisha mawaziri bila mafanikio ingekuwa bora naye ajiuzulu
Wakuu wana JF,naomba tumsaidie Rais Juu ya nani abaki na nani aondolewe na nani abadishiwe wiraza kwenye baraza jipya linalotarajiwa soon:
mawazo yangu:
1.Ngeleja na Malima OUT,wametusababishia madeni makubwa yakiwemo DOWANS
2.Nundu na Naibu wake wabadilishiwe wizara,cant work together kila sikumigogoro
3.Ciril na Nyalandu watenganishwe,na kama nafasi mpya ni chache Nyalandu OUT
4. waziri wa afya abadilishiwe wizara,ya afya imemshinda ila kwa kuwa bado ni kijana mdogo with limited experience apelekwe wizara ndogo ndogo kama ile ya Simba.
5.Sophia Simba OUT-> none existent
6. Mwakyembe na Magufuli should be separated,kila mmoja awe waziri kamili.
7. Kabaka OUT none existent
8. Magembe abaki na wizara yake
9. Mali asili na Utalii OUT
10.Pinda abakie waziri mkuu. SIO FISADI.
11.MKULO OUT ameshindwa kuthibiti matumizi ya dollar nchini.
12.
endeleeni wadau
Wana jamvi,
katika gazeti la Mtanzania la leo kuna habari inayosema kamati kuu ya CCM inakutana leo saa 4 IKULU kujadili mambo mbalimbali ikiwemo kupokea mapendekezo ya party caucus ya kutaka mawaziri 8 kujiuzulu.
Inasemekana kwamba CCM inafanya haraka kubadili BLM ili kuipokonya CHADEMA ajenda yake ya OPERESHENI UWAJIBIKAJI.
Sehemu iliyonivutia katika habari hii ni pale chanzo hicho kilichotaja majina ya mawaziri wanaotarajiwa kuchukua nafasi zitazoachwa wazi kuwa ni:
-GODFREY ZAMBI
-ABDALLAH KIGODA
-KHAMIS KIGWANGALLA
-FAUSTINE NDUGULILE
-CHARLES TIZEBA
-JANUARY MAKAMBA
-STEPHEN MASELE
Wana jamvi, mnawaonaje mawaziri wetu hawa wapya watarajiwa?
Mkuu naye huyu aligombea akijua anapata nafasi baada ya yule wa zamani nadhani maneno kuonekana hawezi kuteuliwa. Jamaa akaacha ukuu wa wilaya akaingiza timu akashinda lakini haku appear kwenye Cabinet. This time inaweza kuwa wasaa wake.Hapa wamesahau swahiba wa kiranya mkuu SAID RAMADHANI BWANAMDOGO
Wana jamvi,
katika gazeti la Mtanzania la leo kuna habari inayosema kamati kuu ya CCM inakutana leo saa 4 IKULU kujadili mambo mbalimbali ikiwemo kupokea mapendekezo ya party caucus ya kutaka mawaziri 8 kujiuzulu.
Inasemekana kwamba CCM inafanya haraka kubadili BLM ili kuipokonya CHADEMA ajenda yake ya OPERESHENI UWAJIBIKAJI.
Sehemu iliyonivutia katika habari hii ni pale chanzo hicho kilichotaja majina ya mawaziri wanaotarajiwa kuchukua nafasi zitazoachwa wazi kuwa ni:
-GODFREY ZAMBI
-ABDALLAH KIGODA
-KHAMIS KIGWANGALLA
-FAUSTINE NDUGULILE
-CHARLES TIZEBA
-JANUARY MAKAMBA
-STEPHEN MASELE
Wana jamvi, mnawaonaje mawaziri wetu hawa wapya watarajiwa?
Kama ilo lipo na majina haya tajwa basi,kuna moto kuwawakia CCM kwa baadhi ya wateuliwa na kuibua mzigo mwingine wa aibu kubwa kwa kuwa kwa sasa Serikali inaitaji watu wasafi kuitetea kwenye jamii.
1: GODFREY ZAMBI-
kama atapata sawa kidogo madhaifu machache
2: ABDALLAH KIGODA-
Huyu ni muhimu kuja kuimarisha na kustwaisha uchumi tunavyokwenda ukingoni
3: KHAMIS KIGWANGALLA-
Anafaa ila anaitaji kuangaliwa kwa makini
4: FAUSTINE NDUGULILE-
Swadakta pasi na shaka ni aina ya viongozi ambao walitakiwa kujengwa toka anaingia madrakani
5: CHARLES TIZEBA-
anastahiki Pia
6: JANUARY MAKAMBA-
Aibu nyingine ya mwaka na hapa ndipo homa itapoanza kupanda na kushuka.Hakika kwa jinsi alivyoishupalia wizara ya madini,akipewa wizara hiyo na kwa sababu ambazo ziko ndani ya box,basi wamekaribisha kelele nyingine ya umma zaidi hata ya huyo aliyekuwepo.Na hakika ataingia asubuhi ofisi leo baada ya masaa matatu kinanuka upya.
Kwa watu wenye kutumia busara ingekuwa si vyema basi kumpa mtu madaraka ambae ananegative attention na vyombo vya habari tena hasa Jamii Forum ambayo kwa sasa ni moja ya source and centre of information kwa baadhi ya vyombo vya habari.Hakika wateuzi wake kama wanataka kumpumzika kelele za vyombo vya habari ambavyo vinaibua na kutibua nyongo ya chuki ya umma dhidi ya Serikali basi ni kumuacha huyu jamaa nje ya baraza la mawaziri.Lakini kitendo cha kumweka ndani eti kumpunguza makali na kumfanya asiwe active kushupalia mambo kwa tiketi ya kunuifaika yeye na si Taifa itakula kwa Serikali zaidi ya ambavyo ingemuacha nje ya Serikali.
7: STEPHEN MASELE
Anastahiki ukiondoa soo la jimboni kwake,ila anitaji uangalifu wa karibu.
Wana jamvi,
katika gazeti la Mtanzania la leo kuna habari inayosema kamati kuu ya CCM inakutana leo saa 4 IKULU kujadili mambo mbalimbali ikiwemo kupokea mapendekezo ya party caucus ya kutaka mawaziri 8 kujiuzulu.
Inasemekana kwamba CCM inafanya haraka kubadili BLM ili kuipokonya CHADEMA ajenda yake ya OPERESHENI UWAJIBIKAJI.
Sehemu iliyonivutia katika habari hii ni pale chanzo hicho kilichotaja majina ya mawaziri wanaotarajiwa kuchukua nafasi zitazoachwa wazi kuwa ni:
-GODFREY ZAMBI
-ABDALLAH KIGODA
-KHAMIS KIGWANGALLA
-FAUSTINE NDUGULILE
-CHARLES TIZEBA
-JANUARY MAKAMBA
-STEPHEN MASELE
Wana jamvi, mnawaonaje mawaziri wetu hawa wapya watarajiwa?
Hivi unamfahamu vizuri au unamsikia tu? huyu ni janga kubwa hana siri na hana maadili ni afadhali hata Ngeleja aendeleeTizeba yule mbunge wa Buchosa yupo poa sana!
Mkuu unamfahamu vizuri Omari Chambo?ni vema rais ateue watu wenye taaluma na wizara husika dr awe waziri wa afya na mtu mwenye uwekedi wa maswala.ya uchumi awe waziri wa fedha. na ikiwezekana chambo wa miundo mbinu awe katibu mkuu wizara ya madini kwenye fani yake. Hakafu si vibaya kwa nafasi zake kumi anichague ili niwawakilishe vijana au mnasemaje?