Mkuu JK,ana mtihani mgumu sana kuwapata watu makini kwenye baraza lake...cream.Unaacha kununua kiatu kipya unataka kuweka viraka na soli za viatu vilivyochakaa kila siku? wote waondoke na kuna tetesi kua atawapa wapinzani nafasi za uwaziri
watu makini ni adimu sana na hasa ndani ya chama chake so its not easy but we can help.