Mnaomtanguliza Wassira mnayajua haya?

Wasira hana usafi wowote mkuu, namsubiri wamlete hadhari alafu nijitoe muhanga kumuuliza usoni mwake ushiriki wake wa kula pesa za economic stimulus kupitia kampuni ya hawara wake Gati Insurance Brokers.

Huyu mtu ni fisadi papa kama wengine ndani ya CCM.

Mkuu Sangarara umenikumbusha uliposema Gati Insurance moyo ukapiga Paaaa! Mzee Ndege...... kama ilivyo wewe na mimi nitaomba kumuuliza swali Wasira eti Bonde la mto rufiji limeanzia wapi? kila ni kikumbuka hili naishiwa nguvu kabisa
 
Wassira for president? Mbona mnazidi kupandisha homa ya mchakato wa kuteua mgombea CCM? Mnataka kuua chama?
 
We mzanaki Kumbuka Wassira ni msizaki halafu alikuwa mwanafunzi wa Mwalimu Nyerere huyo ndiye wakupewa nchi.
Mnawaza kumpa tena mtu wa Mara Urais kwani Tanzania hakuna watu wa mikoa mingine wenye uwezo? Mtwara, Lindi, Pwani, Dar es salaam tayari walishatoa marais wa nchi. Ni kipindi cha kutest ladha ya mikoa mingine.
 
We mzanaki Kumbuka Wassira ni msizaki halafu alikuwa mwanafunzi wa Mwalimu Nyerere huyo ndiye wakupewa nchi.
Jamani kila mtu aliyezaliwa Musoma ni Mzanaki? Mbona lafudhi yake imekaa Kisimbiti simbiti - inarandana randana ni ya mama Maria, Mh Kabaka na Warioba kwa mbali.
 
Mkuu Sangarara umenikumbusha uliposema Gati Insurance moyo ukapiga Paaaa! Mzee Ndege...... kama ilivyo wewe na mimi nitaomba kumuuliza swali Wasira eti Bonde la mto rufiji limeanzia wapi? kila ni kikumbuka hili naishiwa nguvu kabisa

Mkuu KOMBAJR, Kwanza kifo cha mzee wa watu ni utata mtupu.
 
Last edited by a moderator:
Acha mbwembwe Wewe.
Wassira anakubalika ndani na nje ya CCM bila shaka yoyote, Bunda kila mara anapita Kwa kishindo, kwako wilaya nzima ni CCM?
Umetumia kigezo gani kujua hakubaliki nje ya CCM? Wassira anafahamika sana, ni maarufu sana, anakubalika sana Kwa msimamo wake thabiti wa utendaji kila kona ya nchi hii.
Wakati wa uwaziri wake wa kilimo watu wa Kusini na Nyanda za juu kusini hawatasahau alivyosimamia soko la korosho na mahindi na uanzishwaji wa Kilimo kwanza leo hata mkulima wa kibondo anapata vocha ya serikali, haya yote aliyaasisi Wassira.

Zao la pamba huko kanda ya ziwa alisimamia kuongeza ruzuku ya bei wakati ule soko la dunia limeyumba, tofauti na leo.

Muda ukifika ndo utayajua mengi na utabaki mwenyewe na mawazo yako ya mtaa wa ufipa.

Akiwa Waziri wa Kilimo alimpa mwanaye kazi ya Kuuza Mbegu na Mbolea Za Pamba ....kilichotokea ..mwaka unaofuatia muwaulize wakulima
 
Mnawaza kumpa tena mtu wa Mara Urais kwani Tanzania hakuna watu wa mikoa mingine wenye uwezo? Mtwara, Lindi, Pwani, Dar es salaam tayari walishatoa marais wa nchi. Ni kipindi cha kutest ladha ya mikoa mingine.

this is the most stup.id post i ever see! Uongozi wa nchi haufanyiwi majaribio!!!
 
Tatizo watu mnajaribu kusahau haswa mnayemzungumzia ni nani. Issue siyo Wassira hasa ni chama kinachompa nafasi. Na tatizo la CCM kwa sasa ni kuwa chama kimechafuka sana kiasi kwamba waliobakia aidha wana kashfa chafu kuliko yeye au wamechoka kutetea uchafu mpaka jamii imewazoea hivyo.

Kwa hiyo tukitafsiri hali hiyo kwa sauti, ni kuwa CCM iko desperate kiasi hicho. Na kama hamna habari in desperate times mtu can do anything including kuwaachia watu wasiojua hata wao ni kina nani kuwa wasemaji wao katika midahalo na mihadhara!

Hivi katika midahalo kwa upande wa chadema ,kuna mtu mwingine anashiriki zaidi ya tundu lissu ? tutumie akili zetu vizuri hizo double standard za kuangalia upande mmoja zinatufanya tuwe vipofu
 
Naombeni mnitajie mtu msafi kuliko wote CCM

prof mark mwandosya,dr harrison mwakyembe,prof anna tibaijuka,january makamba,james lembeli,filikunjombe,nape mnauye,philip mangula n.k list ni ndefu.sasa kwa upande wako tutajie mtu safi chadema
 
Back
Top Bottom