Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Kama siyo muwakilishi wake basi atakuwa ni yeyeWewe ni mtetezi wake ama ni mhusika anatolea ufafanuzi wa yanayosemwa
Kama siyo muwakilishi wake basi atakuwa ni yeyeWewe ni mtetezi wake ama ni mhusika anatolea ufafanuzi wa yanayosemwa
Analazimisha kutupiwa jichoUlikua na haja gan kuandika jina hapo chini wakati juu lipo
Simuoni kabisaWho is Dotto BTW?
Nani alikua msafi kwenye awamu ya Jiwe?
Awamu ya 6 inatisha sanaKishaambiwa ajitokeze akanushe mbona mnakuja wapambe ?
Umeonaeeeeee?Nyie mapandikizi ya nchi jirani lazima mtoke mmoja baada ya mwingine
Walishalewa na mapambio ya mteuzi wao kuwa ni malaikaYule ni kiongozi wa umma. Watu wanajua anachokifanya kuhoji mustakabli wake sio kumchafua. Ni tabia za kipuuzi kuishi na kuamini kwamba kila umma kuhoji juu ya kiongozi wao ni kuwachafua. Wao siyo malaika ni watu kama cc.
Nimekaa na wauza madini muda mrefu sana. Inahitaji uadilifu wa hali ya juu kuwa msafi kwenye hiyo biashara vinginevyo yasemwayo yapo
Wacha kutetea watu wakoraUnajua Maadili ya Uandishi wewe? Unawaza tu jambo kichwani kwako basi unaandika tu? Ningemuona mwandishi mzuri kama angekuwa na vielelezo na sio majungu
Nyie ni washuti tuMwl Nyerere alipata kusema hakuna Umaskini mbaya kama wa mtu kufilisika kichwani!
Huyo ni mjukuu wa MichomberoUna Kiswahili cha kirundi!! Kinataka kufanana na Msumbiji pia ila kina goma!
Majizi hayana nafasi kwenye awamu ya 6Punguza mihemko na uchape kazi ili kujiletea maendeleo! Usiwe na wivu wa Kaini!
Nimeamini kweli kuwa wewe ni MRUNDIBurundi ni Nchi tu hata wewe pengine ni kijana wangu sema tu makosa yangu nilikutelekeza!
Pamoja na kwamba ccm ni ile ile lakini Magufuli aliwapa vyeo watu duni sana !Awamu ya 6 inatisha sana
Mkumbushe na no ya simuUlikua na haja gan kuandika jina hapo chini wakati juu lipo
Leo nimeona kuna habari ipo humu Jamii Forum kuhusu Waziri wa Madini Mh Dotto Biteko!
Kwanza ni habari za uzushi ambazo hashiko mashiko yoyote au chanzo chochote cha kueleweka zaidi ya mihemko na chuki binafsi za mwandishi
Pili Jamii Forum ni jukwaa huru lenye fikra pana kwaajili ya maoni na afya kwa Taifa letu
Nne,Uongozi wa Jamii Forum muwe makini na tabia hii ambayo imezuka humu ya kuchafua tu watu bila sababu yoyote na kupelekea kuleta usumbufu kwenye Jamii kwa mhusika anayechafuliwa
Tano tumuache na tumpe muda Mh Rais Mama Samia Suluhu Hassan achape kazi pamoja na baraza la Mawaziri baade tuje tuwahukumu kwa awamu yao hii
La mwisho Mh Waziri wa Madini Mh Dotto Biteko endelea kuchapa kazi ambayo Mh Rais Mama Samia Suluhu Hassan amekuamini tena uendelee ili secta hii ya Madini izidi kupaa na kuleta ufanisi mkubwa kwenye Taifa letu ambako siku za nyuma tuliibiwa sana!
Alex Fredrick
Dar es salaam Tanzania
Doto Biteko alikuaga mtumishi wa tanzanite one ,walimfukuza hana sifa,alijifanya yuko TISS. Anatakiwa arudi kufundisha,amuachie Naibu wake prof. ManyaLeo nimeona kuna habari ipo humu Jamii Forum kuhusu Waziri wa Madini Mh Dotto Biteko!
Kwanza ni habari za uzushi ambazo hashiko mashiko yoyote au chanzo chochote cha kueleweka zaidi ya mihemko na chuki binafsi za mwandishi
Pili Jamii Forum ni jukwaa huru lenye fikra pana kwaajili ya maoni na afya kwa Taifa letu
Nne,Uongozi wa Jamii Forum muwe makini na tabia hii ambayo imezuka humu ya kuchafua tu watu bila sababu yoyote na kupelekea kuleta usumbufu kwenye Jamii kwa mhusika anayechafuliwa
Tano tumuache na tumpe muda Mh Rais Mama Samia Suluhu Hassan achape kazi pamoja na baraza la Mawaziri baade tuje tuwahukumu kwa awamu yao hii
La mwisho Mh Waziri wa Madini Mh Dotto Biteko endelea kuchapa kazi ambayo Mh Rais Mama Samia Suluhu Hassan amekuamini tena uendelee ili secta hii ya Madini izidi kupaa na kuleta ufanisi mkubwa kwenye Taifa letu ambako siku za nyuma tuliibiwa sana!
Alex Fredrick
Dar es salaam Tanzania
Wewe ni mtetezi wake ama ni mhusika anatolea ufafanuzi wa yanayosemwa
Unazungumzia uandishi upi mkuu. Huu uandishi wa kwenye social media au wa magazeti ya uhuru na mzalendo! ? Huu wa huku hauna wahariri so hayo madini unayodai kuyaishi huku hayapo ! Watu wanaandika kadiri wanavyojua na kuona.Unajua Maadili ya Uandishi wewe? Unawaza tu jambo kichwani kwako basi unaandika tu? Ningemuona mwandishi mzuri kama angekuwa na vielelezo na sio majungu