Mnaomchafua Waziri wa Madini, Mhe. Dotto Biteko, tafuteni Habari za kuleta tija kwa Ustawi wa Taifa na sio pukakana matope

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
103,722
2,000
Yule ni kiongozi wa umma. Watu wanajua anachokifanya kuhoji mustakabli wake sio kumchafua. Ni tabia za kipuuzi kuishi na kuamini kwamba kila umma kuhoji juu ya kiongozi wao ni kuwachafua. Wao siyo malaika ni watu kama cc.
Nimekaa na wauza madini muda mrefu sana. Inahitaji uadilifu wa hali ya juu kuwa msafi kwenye hiyo biashara vinginevyo yasemwayo yapo
Walishalewa na mapambio ya mteuzi wao kuwa ni malaika
 
Mwanga Mkali

JF-Expert Member
Jul 8, 2018
408
1,000
Dotto ni mwizi kama wezi wengine kuanzia Merani mpaka mshiko aliovuta Barrick naona anajitekenya na kucheka mwenyewe.... Bora ukae kimya tu ...jiwe alikuwa anakuvutia gap tu najua utakuwa na amani baada ya kifo chake.
 
peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
2,611
2,000
Doti
Leo nimeona kuna habari ipo humu Jamii Forum kuhusu Waziri wa Madini Mh Dotto Biteko!

Kwanza ni habari za uzushi ambazo hashiko mashiko yoyote au chanzo chochote cha kueleweka zaidi ya mihemko na chuki binafsi za mwandishi

Pili Jamii Forum ni jukwaa huru lenye fikra pana kwaajili ya maoni na afya kwa Taifa letu

Nne,Uongozi wa Jamii Forum muwe makini na tabia hii ambayo imezuka humu ya kuchafua tu watu bila sababu yoyote na kupelekea kuleta usumbufu kwenye Jamii kwa mhusika anayechafuliwa

Tano tumuache na tumpe muda Mh Rais Mama Samia Suluhu Hassan achape kazi pamoja na baraza la Mawaziri baade tuje tuwahukumu kwa awamu yao hii

La mwisho Mh Waziri wa Madini Mh Dotto Biteko endelea kuchapa kazi ambayo Mh Rais Mama Samia Suluhu Hassan amekuamini tena uendelee ili secta hii ya Madini izidi kupaa na kuleta ufanisi mkubwa kwenye Taifa letu ambako siku za nyuma tuliibiwa sana!

Alex Fredrick

Dar es salaam Tanzania

Doto Biteko alikuaga mtumishi wa tanzanite one ,walimfukuza hana sifa,alijifanya yuko TISS. Anatakiwa arudi kufundisha,amuachie Naibu wake prof. Manya
 
Bulesi

Platinum Member
May 14, 2008
9,839
2,000
Wewe ni mtetezi wake ama ni mhusika anatolea ufafanuzi wa yanayosemwa

KAMA UNASEMA ANACHAFULIWA KWA LIPI? KAMA ANACHAFULIWA NA WEWE UNAAMINI HIVYO NI JUKUMU LENU KUJISAFISHA KWA KUELEZA UKWELI JUU YA MAMBO YANAYOSEMWA. MNAPO KAA KIMYA MAANA YAKE HAKUNA UTETEZI WA TUHUMA ZINAZOTOLEWA!!
 
Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
4,306
2,000
Unajua Maadili ya Uandishi wewe? Unawaza tu jambo kichwani kwako basi unaandika tu? Ningemuona mwandishi mzuri kama angekuwa na vielelezo na sio majungu
Unazungumzia uandishi upi mkuu. Huu uandishi wa kwenye social media au wa magazeti ya uhuru na mzalendo! ? Huu wa huku hauna wahariri so hayo madini unayodai kuyaishi huku hayapo ! Watu wanaandika kadiri wanavyojua na kuona.
Ndo maana hakuna shart la kujiunga kwamba lazima uwe na vyeti ndo muandike.
Jielimishe.hata kigwangwala alitishia kulipeleka jamhuri mahakamani alikuwa wazir kwamba wanamchafu. Leo kiko wapi CAG KAMUANIKA kakimbilia msikitini
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom