Mnaolalamika wagombea wa vyama vya upinzani kutopitishwa, mnakumbuka hotuba ya Rais?

Adam Manyama

Member
Feb 2, 2015
26
75
Nawahakikishia kuwa cheo cha Afisa Mtendaji Kata siyo kidogo, ninyi ni wawakilishi wangu na nawahakikishieni tembeeni vifua mbele na kamwe asitokee mtu wa kuwanyanyasa huko mliko.

Nimewaita tusalimiane, tujadiliane namna bora ya kutimiza wajibu wenu katika maeneo yenu mnakotoka, sina hakika katika maisha yenu kama mmeshawahi kuitwa na Wakuu wa Wilaya ama Wakurugenzi wa Halmashauri,kujadili kwa pamoja utendaji kazi wenu.

___
Kwa hotuba hii watendaji si watumishi wa umma bali ni wawakilishi wa Rais. Hivi niulize, uchaguzi huu unasimamiwa na nani, tume, ana Waziri katika ofisi ya Rais
 

LIMBOMAMBOMA

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
8,490
2,000
Upinzani unaotakiwa sasa Ni kama ule Wa kina rails odinga.wapinzani wakiendelea kulialia watapoteza zaidi.viongozi Wa dini wako kiiimya wanasubiri kichafuke waunde kamati za amani.
 

Bookman Oldstyle

Senior Member
Nov 3, 2019
151
225
sema rais wako sio rais wetu mpendwa, labda wewe na mke wako.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom