Mnaokwenda kuoa mkoa wa Tanga tafakarini mara mbili

Aaah nishachoka mie dada
Hebu waitafakari hii picha kwanza.
images.jpeg
 
"....ujue labda wamekudharau masikini au una roho ngumu zaidi ya Jiwe" JIWE huyu huyu?
 
Nimekuja Mtani.

Ila nadhani mleta uzi hajajua kwamba kupenda ushirikina hiyo huwa ni hulka ambayo mwanamke wa Mkoa wowote anaeza kuwa nayo.
Nasikia Singida haivumi lakini imo. Unajua wanawake wa Tanga customer care ni ya kiwango cha juu sana. Tanga ndio maji ya kuoga huungwa na hiliki, hapo mtu bado hajabebwa mgongoni, kisha akasingwa(scrubbing), na mambo kibao.

Kwahiyo sasa kama ni mshamba lazima utasema wanawake wa Tanga wanaroga maana kwa treatment zao lazima usahau mambo yote yasio ya lazima😂😂😂
 
Back
Top Bottom