Wewe kijana na mzee unayekaa kumsema vibaya Rais wa jamuhuri ya Tanzania ukumbuke pia mdomo wako unaosema mabaya unajenga laana yakutokula mema ya nchi.
Katika historia taifa fulani kulikuwa na njaa kali sana ila mfalme akamwambia nabii atabiri juu ya mwisho wa njaa katika taifa. Jambo la ajabu pakatokea mtu akamkejeli nabii basi yule nabii akasema utaona ila hutokula.
Kweli muda ukafika chakula kikawepo ila ajabu yule bwana akakanyagwa kwenye foleni mpaka akafa.