Mnaokesha kumsema vibaya Rais mkumbuke hamtokula matunda yake

Anaambiwa ukwli..anajiskiaje kuongoza taifa LA watu wenye manung'uniko? au anachekelea anavoshangiliwa kila anapotokea? qcheni upuuzi..Mara paap! bendera nusu mlingoti..maombolezo ya kitaifa! ntakunywa balimi kreti zima
Daaaah!! aiseee umeua.
 
Wewe kijana na mzee unayekaa kumsema vibaya Rais wa jamuhuri ya Tanzania ukumbuke pia mdomo wako unaosema mabaya unajenga laana yakutokula mema ya nchi.

Katika historia taifa fulani kulikuwa na njaa kali sana ila mfalme akamwambia nabii atabiri juu ya mwisho wa njaa katika taifa. Jambo la ajabu pakatokea mtu akamkejeli nabii basi yule nabii akasema utaona ila hutokula.

Kweli muda ukafika chakula kikawepo ila ajabu yule bwana akakanyagwa kwenye foleni mpaka akafa.
matunda yapi? mbona Hata dalili za mti kuchipua hakuna?ninachoona ni miti kunyauka na kukauka kabisa.hakuna matunda hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kijana na mzee unayekaa kumsema vibaya Rais wa jamuhuri ya Tanzania ukumbuke pia mdomo wako unaosema mabaya unajenga laana yakutokula mema ya nchi.

Katika historia taifa fulani kulikuwa na njaa kali sana ila mfalme akamwambia nabii atabiri juu ya mwisho wa njaa katika taifa. Jambo la ajabu pakatokea mtu akamkejeli nabii basi yule nabii akasema utaona ila hutokula.

Kweli muda ukafika chakula kikawepo ila ajabu yule bwana akakanyagwa kwenye foleni mpaka akafa.
Tunajua hizi ndizo akili zenu wote pale Lumumba na magogoni manadhani huyo mtu wenu ndie mungu wa kuwaamulia hata mlo wenu kwa taarifa yako hata sudan ama kongo au kenya ama libya kuna watu wanakula vizuri hata kama mfalme wenu hapendi. Ndo maana mmekazana kuweka watu lokapu kwa kuwaonea gere kwakuwa wanakula vizuri kuliko ninyi!!! Hauwezi wewe wala yeyote yule kuzuia kula ya mtu kwakuwa hajakusifu! Kwani wewe mungu mtu???

mzee mzima haishiwi maneno
 
Nikakumbuka pia kipindi wana wa Israel/Yakobo wakitoka misri kwenda kanani walipopita kipindi kigumu jangwani na njiani walimnung'unikia Musa na Mungu ,Mungu akaapa wote waliokosa imani na uvumilivu kamwe kutoiona nchi ile ya maziwa na asali.Yumkini Tanzania tunapita katika kipindi kigumu kama kuna matatizo hayawezi kumalizwa kwa manug'uniko bali kwa kuwa na njia thabiti,yawezakana(nasema yawezekana)tunaowalaumu sio sababu ya hii tuliyo nayo hata kama wao ni sababu tunao wajibu wa kufanya kitu,Mungu ibariki Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kijana na mzee unayekaa kumsema vibaya Rais wa jamuhuri ya Tanzania ukumbuke pia mdomo wako unaosema mabaya unajenga laana yakutokula mema ya nchi.

Katika historia taifa fulani kulikuwa na njaa kali sana ila mfalme akamwambia nabii atabiri juu ya mwisho wa njaa katika taifa. Jambo la ajabu pakatokea mtu akamkejeli nabii basi yule nabii akasema utaona ila hutokula.

Kweli muda ukafika chakula kikawepo ila ajabu yule bwana akakanyagwa kwenye foleni mpaka akafa.
Tuonyeshe huyo Nabii ambae raisi anaukubali unabii au ushauri wake !!?? Ili tujue uende tukanyamaza au tuendelea kusema ,vinginevyo nyamaza ya Mungu tumwachie Mungu na kaisari apewe vidonge vyake kaisari ,
 
Wewe kijana na mzee unayekaa kumsema vibaya Rais wa jamuhuri ya Tanzania ukumbuke pia mdomo wako unaosema mabaya unajenga laana yakutokula mema ya nchi.

Katika historia taifa fulani kulikuwa na njaa kali sana ila mfalme akamwambia nabii atabiri juu ya mwisho wa njaa katika taifa. Jambo la ajabu pakatokea mtu akamkejeli nabii basi yule nabii akasema utaona ila hutokula.

Kweli muda ukafika chakula kikawepo ila ajabu yule bwana akakanyagwa kwenye foleni mpaka akafa.
Huu mfano wako wala hauendani kabisa na hali iliyopo hapa Tz. Taifa unalotolea mfano ni Israel ambalo lilikuwa limezingirwa na jeshi la Waashami kila kona. Kulikuwa hakuna kuingia wala kutoka, ndiyo sababu ya njaa iliyokuwepo. Hapa Tz hakuna vita wala njaa. Nabii Elisha ndiye aliyetabiri hayo uliyoandika, sasa sijui nabii wetu hapa Tz ni yupi huyo na atatabiri kitu gani wakati hali yetu haifanani kabisa na ile iliyokuwepo Israel?
Sijaelewa ulitaka kueleza nini hasa!!!
 
Wala hatutaki hayo matunda yake yakututosa ruvu na baharini,kutubagua kidini,kiitikadi,kiajira nk !.hana matunda yoyote yeye kama yeye,wala hatukumuajiri sisi tulio wengi,na matunda wanayokula ccm wenziwe ni jasho letu hana chake hapo,wala hatuhitaji huruma,hisani toka kwake.INA maana hakuchaguliwa na wengi,na hatumpendi.kazi kupiga mabomu nchi(IMMA) kutulipisha mideni mizito Canada,nani anataka chochote toka kwake ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kijana na mzee unayekaa kumsema vibaya Rais wa jamuhuri ya Tanzania ukumbuke pia mdomo wako unaosema mabaya unajenga laana yakutokula mema ya nchi.

Katika historia taifa fulani kulikuwa na njaa kali sana ila mfalme akamwambia nabii atabiri juu ya mwisho wa njaa katika taifa. Jambo la ajabu pakatokea mtu akamkejeli nabii basi yule nabii akasema utaona ila hutokula.

Kweli muda ukafika chakula kikawepo ila ajabu yule bwana akakanyagwa kwenye foleni mpaka akafa.
Shida ni wewe ndio mwenye njaa kali,tunaishi kwa mitaji yetu hatumtegemei yeye....wewe endelea kulala sebuleni kwa shemeji umsaidie dada kuosha vyombo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binadamu hula matunda ya upendo,huruma na baraka za Mungu bila kujali ni kwa kiwango gani kakosewa na wanadamu.
Lipi LA mfano alofanya?

Sent from my Mate7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom