Mnaojiuzuru madaraka chadema jivueni na uanachama

Lugogo

JF-Expert Member
Sep 16, 2013
304
67
kila mara wanafiki utawasikia tunatoa tamko na kulaani kamati kuu ya cdm.kama mmeshaona cdm hakuna demkorasia si nendeni vyama vingine kama kafulila alivyofanya.kuna madiwan cdm mz matata na chagulani walivuliwa uanachama wakaenda mahakamani kuzuia.lakini unasikia wanalalamika cdm hakuna demokrasia.achani kutumika
 
Yule wa Singida kitu kama kajivua uanachama. Na eti ili aonekane anafaa kaacha 'box' lake liendelee kutumiwa na CDM! Mtu anayejidai kuwa kiongozi na mwanzilishi wa CDM tangu 1993 aliendelea kukifanya chama kisiwe na box lake kipindi chote hiki! Shame on him, really!
 
Watu wamejitoa kutoka kwenye Uongozi wa kiimla ili wabaki kuwa wanachama wapate Fursa ya kupigania Uongozi wa Kidemokrasia. Msije nmkaahirisha tu Uchaguzi kukimbia Vivuli vyenu.
 
Dogo ulieandika huu Uzi inaelekea unaamini kuwa chadm ni Mali ya mbowe na wachagga. Unachukizwa na mtu wa mtwara, singida au Mwanza anapokosoa unable wa kkuu.

Acha hizo dogo. Zitto hafukuziki.
 
Dogo ulieandika huu Uzi inaelekea unaamini kuwa chadm ni Mali ya mbowe na wachagga. Unachukizwa na mtu wa mtwara, singida au Mwanza anapokosoa unable wa kkuu.

Acha hizo dogo. Zitto hafukuziki.

Hafuziki kwalipi?

Kesha vuliwa nyazifa zake nini kitazuia asifukuzwe.......siku 14 zikiisha utaungana naye mkajiunge kwenye chama cha kuabudu mtu badala ya sera na wajinga wajinga wote mnaishi kwa hongo mtamfuata.

Similar Discussions

Back
Top Bottom