Mnaojiita wanaharakati, wapiganaji, wachambuzi nk. mko wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnaojiita wanaharakati, wapiganaji, wachambuzi nk. mko wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Leornado, Feb 9, 2011.

 1. L

  Leornado JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Naona taifa limepoteza mwelekeo 100%, hivi TZ hamna wenye uchungu na hii nchi kifanyike chochote? manake naona chombo tulichopanda kinakaribia kuzama....

  Tusilalamike kwenye mablogu na forums tu, haisaidii manake ni kama kelele za chura. Lets take action please... kwa gharama yoyote ile.

  wanaharakati, wapiganaji, wachambuzi, wasoma nyakati, magreat thinker na walala hoi wake up.
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  What action should be taken....suggest plz
   
 3. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2011
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Wewe pia uko wapi na unafanya nini?
   
 4. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #4
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  lianzishe!...
   
 5. L

  Leornado JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0


  kama vipi tuingie msituni though misitu yote imejaa kambi za jeshi. CCM wajanja walijenga kambi za jeshi misitu karibu yote wakihofia waasi kukimbilia huko siku mambo yakiharibika.
   
 6. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,197
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Bla bla bla

  Ukifanya Mapinduzi kwenye keyboard


  wenzio wanazima Umeme tuone kama utakua online
   
 7. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  ayaaah! Kweli mwenye nguvu mpishe!
   
 8. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Tanzania bado nchi changa, mabadiliko subirini baada ya miaka 70 ijayo, take my words!
   
Loading...