Mnaojenga nyumba, kuweni makini na watu mnaowaomba wawalindie nyumba zenu

Hivi hii ndo ile wanasema kupeperushwa? Yaani kama ni mke unapeperushwa na mpango wa kando wa mume , unaamua kuondoka mwenyewe pasipojulikana bila kuaga kabisa. Kurudi ndo hadi uzinduliwe kama huyu bwana.

Mke anawaacha mume na mpango wa kando wanajinafasi kwa raha zao kama Mke na mume.
 
Unajua watu wengi hawafahamu kuwa wachawi wapo mjini mfano angalia nyumba nyingi ukianza kujenga ikafikia sehemu ya finishing ukaweka mmasai mlinzi au mmakonde na wengine ujue nyumba hiyo huwezi kuimalizia itakaa hivyo hivyo mda mrefu utakuwa umeisahau kabisa..
Hujapata shida ya pesa wewe unatuzingua tu
 
Unajua watu wengi hawafahamu kuwa wachawi wapo mjini mfano angalia nyumba nyingi ukianza kujenga ikafikia sehemu ya finishing ukaweka mmasai mlinzi au mmakonde na wengine ujue nyumba hiyo huwezi kuimalizia itakaa hivyo hivyo mda mrefu utakuwa umeisahau kabisa...
Nenda kwa Mwamposa case closed
 
Atakua na nyumba nyingi huyo jamaa.

Masikini/choka mbovu mwenye kuishi kwny ka-banda ka-mbwa ka kupanga huko uswazi hawezi kusahau nyumba yake anayoijenga kamwe.
Kama jina lako lilivyo huwezi kuelewa
 
Sio siku nyingi tuliona Lukuvi akimkabidhi Ghorofa mtu aliyekuwa ameisahau, haya mambo ni mazito. Hasa Wamakonde ukiwaweka umesahau
 
watu watabishi tu ila mambo hayo yapo anzia nyumba, mashamba aseeh siyo ya kumpa mtu/kumwazima

kuna mbunge mmoja namfahamu alimpa jamaa kulinda miaka 6 ni majuzi wamefikishana mahakamani baada ya jamaa kutaka kuiuza nyumba
.
 
Wakati mwingine ni uvivu tu wa kutingwa na majukumu ya kila siku......na kwa bahati mbaya siku unayotaka kwenda ndio siku ya kupumzika na mwili umechoka........
 
Doooh!!!

Kipapai cha kusahau

Angeenda tu kukopa bank halafu anawapiga hiyo kitu aisee.

Uchawi upo.
 
Kuamini kwenye nguvu za giza lazima kwanza nawe uwe Mshirikina.

Pili kuamini kwamba binaadamu mwenzako mnayefanana kwa kila kitu kwamba ana uwezo wa kuhusika na hisia au nafsi yako ni kumtukuza kulikopitiliza...
Hayajakukuta mkuu. Iko siku.
 
Unajua watu wengi hawafahamu kuwa wachawi wapo mjini mfano angalia nyumba nyingi ukianza kujenga ikafikia sehemu ya finishing ukaweka mmasai mlinzi au mmakonde na wengine ujue nyumba hiyo huwezi kuimalizia itakaa hivyo hivyo mda mrefu utakuwa umeisahau kabisa...
Alierogwa hajitambui wewe unakuja jf kuleta stori humu!
 
Unajua watu wengi hawafahamu kuwa wachawi wapo mjini mfano angalia nyumba nyingi ukianza kujenga ikafikia sehemu ya finishing ukaweka mmasai mlinzi au mmakonde na wengine ujue nyumba hiyo huwezi kuimalizia itakaa hivyo hivyo mda mrefu utakuwa umeisahau kabisa.

Mfano mimi nina nyumba buguruni barabara kubwa nina fremu 4 za maduka zipo tupu niliwahi kumpangisha mdada mmoja fremu mmoja. Na zingine nikawa sijapangisha kwa sababu nilikuwa naishi nje ya nchi ila kila 3 month nakuja tz huyu mdada alipanga kwa miaka 4 lakini ajabu kila watu wakija kutaka fremu nilikuwa nakataa kupangisha moyo hautaki kabisa mdada huyu akapata fremu nyumba ya jirani akahama lakini mpaka leo sijapangisha zaidi ya miaka 10 fremu zote 4 na watu wananiijia kunibembeleza kupanga moyo unakataa mtaa wangu huu umechangamka sana maduka majirani wananishangaa sana kwa nini sipangishi na mpaka sasa nina shida ya pesa kulipa school fees ya mwanangu form 5.

Napata tabu kupata pesa na fremu ninazo na watu wanataka kupanga kila fremu laki 250 lakini nakataa naomba mniombee kila anaesoma.maana kazi niliacha mda mrefu sana baada ya kuumia na umri pia.mimi najijua kuwa huyo mdada kanifanyia maana kila akiniona anatabasamu nakuniuliza hujapangisha tu au nirudi mimi
Mh sasa si ukubali tu kupangisha, hujalogwa wala nini ni wewe mwenyewe bwana. Halafu unashida kama hivyo yaan
 
Mmenifumbua macho.nyumba yangu nikishaipaua nilipanga nimuweke mtu ila nitamuweka kwa kuandikiana
 
Vijana masuala ya Ujenzi ukikosea step kamwe hiyo nyumba hutokuja kuimaliza na ukifanikiwa kuimaliza kamwe unaweza usilale pia.
Shika neno sana, shirikisha watu wazima sana hutooona shida.
Pona pona yako ujenge nyumba iishe mwanzo mwisho, lakn nyumba umejenga boma umepiga na bati ukaiacha???? Hapo umechuma janga.
 
Naomba fafanua tuweze kupata yale yaliyomo hasa maana kama umeongea mambo ya maana sana!
Tafadhali funguka zaidi.
 
Vijana masuala ya Ujenzi ukikosea step kamwe hiyo nyumba hutokuja kuimaliza na ukifanikiwa kuimaliza kamwe unaweza usilale pia.
Shika neno sana, shirikisha watu wazima sana hutooona shida.
Pona pona yako ujenge nyumba iishe mwanzo mwisho, lakn nyumba umejenga boma umepiga na bati ukaiacha???? Hapo umechuma janga.

Na Je kama imejengwa kwaajili ya kupanga nini kinapaswa kufanyika?
 
Back
Top Bottom