Uzalendo Installer
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 5,370
- 8,839
Nyati yenye grade 42...inauzwa 15,000Unasema nyati arobaini na 42 ??????
Nyati yenye grade 42...inauzwa 15,000Unasema nyati arobaini na 42 ??????
Dsm kwa wateuleMkoa gani?
Imekuwa ngada??Morogoro Hapa Kingolwira Tshs 17000/= Lakini Inauzwa Kwa Siri Sana!!
Ndiyo Ukweli WenyeweImekuwa ngada??
Mkuuu mimi niko Kanda ya KaskaziniHabari wadau..!
Mwezi huu nilikuwa na plan ya kuendeleza ujenzi lakini nimekwama maana dukani ninaponunua cement mangi kasafiri ghafla😂😂😂😂
Naomba nipewe update cement inavyouzwa huko mitaa yenu.
Asanteni.
1000Tofali moja ni bei gani kwa sasa hivi?
Bado yana nunulika ila swali ni kuwa kwa bei ya cement ya sasa, wafyatua matofali wanafanya ratio gani kati ya mchanga na mfuko wa cement ili wapate faida?1000
Tunafanya 1:60 tunapiga maji mengi sana, huwezi kujuaBado yana nunulika ila swali ni kuwa kwa bei ya cement ya sasa, wafyatua matofali wanafanya ratio gani kati ya mchanga na mfuko wa cement ili wapate faida?
Dah,vipi uimara wake hapo?Tunafanya 1:60 tunapiga maji mengi sana, huwezi kujua
Jumla ni kuanzia mifuko mingapi?Mwanza nimenunua bei ya jumla wiki hii 19500 ile grade ya 42.5R. Nadhani bei ya reja reja itafika 23,000
😂😂😂😂Siyo lazima kujenga na cement tumieni hata udongo.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Ndio, ni imara sana. Ila wakati unajenga sisi hatutakuwepoDah,vipi uimara wake hapo?
Ndio, ni imara sana. Ila wakati unajenga sisi hatutakuwepo
50Jumla ni kuanzia mifuko mingapi?
Mkuu hebu niambie, ni mpaka sshv bei ni hiyo kwa Bulk Arusha?Kwa Bulk Arusha, 15,500/=