mnaoishi mabondeni dar es slaam hamieni juu sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mnaoishi mabondeni dar es slaam hamieni juu sasa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by figganigga, Nov 7, 2011.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,632
  Trophy Points: 280
  mvua balaa inatarajiwa kunyesha.mbagala ishaanza hakukaliki.wale wa k/koo anzeni kuwekea alama penye mashimo ili baadae msitumbukie coz hapo patafulika ile mbaya.si mnajua mifumo ya maji taka mibovu?wale wa kisutu naomba msifungulie uchafu kwenye mifereji ya maji.mia
   
Loading...