Mnaoifahamu Bariadi: Vp kuhusu Maendeleo, Fursa na Utamaduni wake.

Financial Analyst

JF-Expert Member
Nov 27, 2017
1,605
2,743
Habarini wana nzengo wa Bariadi na mlio na experience na mahali hapo.

Ningependa kujua mawili matatu kuhusu Bariadi, yani hali yake ya sasa ya kimaendelo, kasi ya ukuaji wa mji, nguvu ya pesa na manunuzi pia na mvuto wake katika fursa mbali mbali za mahali pale

Karibuni............................
 
Mji wa Bariadi ni Makao Makuu ya Mkoa wa Simiyu. Mji una idadi kubwa ya watu kama ilivyojadi ya Wasukuma na Wanyantuzu kwahiyo hata mzunguko wa bidhaa za matumizi ya kila siku upo kiasi. Mzunguko wa Pesaa upo kiasi cha Kawaida tu. Chuo cha VETA, TIA vipo. Hali ya Hewa ni joto wastani na Kibaridi. Udongo ni ule mweusi tiiiiii unaoteleza wakati wa mvua. Jipange kwa kilimo cha Mpunga na Mahindi utapata mazao ya kutosha.
Mila za Wenyeji pia zipo za kutisha maaana unaweza pigwa mawe ukafa. Lkn pia ukumbuke huko ndiko kuna GAMBOSHI ukae kwa kutulia. Ujue kuna Fisi wa watu epukana na kuwadhuru au kupanga mipango ya kuwatokomeza. All in all nenda kapambane na Wanyantuzu utaleta mrejesho mwenyewe
 
Hahah..kama vp ukimuona fisi muache na mishe zake mwenyewe..
 
Utalikuta joka la makengeza huko Sima str limejizungushia.

Ni kamji kadogo lakini ni kazuri, vyakula tele, sijawahi ona mnada wanapochinjwa mbuzi walionona na kuliwa kila siku za jumanne kila wiki kama Bariadi.

Kwenye migahawa ni mwendo wa supu za mbuzi kwa kwenda mbele.

Soko lina vyakula vya kutosha, samaki wabichi toka Viktoria ya Busega pamoja na aina mbali mbali za matunda.

Hali ya hewa murua kabisa, mvua huanza mapema mwezi octoba.

Tatizo la maji sielewi kama limetatuliwa kwa sasa, maji yalikuwa ni ya visima na ya kukatika katika!

Sielewi barabara ya lami tokea Bariadi kupitia Maswa kuunga Mwigumbi kama ilishakamilika kuwekwa lami.

Hata uwe kijana mdogo kama una wadhifa na una ofisi, utaamkiwa "shikamoo" hata na wazee, ukiuliza kwanini unatukuzwa kwa heshima kubwa juu ya stahili yako, mtu atakujibu huku akicheka kwamba shikamoo ni ya ofisi na siyo ya kwako, embu acha kazi uone kama atakuamkia hivyo!

Wenyeji ni wakarimu sana na kiswahili chao cha "karibu baa abaa"!

Ndipo ilipo Gamboshi ya kweli, lakini ni Gamboshi ya duniani na si ile ya kusadikika ya kichawi, ni kijiji ambacho watu wanaishi na wanaendelea na shuhuli zao kama kawaida.

Fisi ni wengi kuliko digidigi, nililichunguza hili na kugundua ni kutokana na mazingira hasa ya ardhi kuwa ni ya mfinyanzi ambayo mapango yake ya kuhifadhi fisi hudumu tofauti na ardhi ya kichanga ambayo hutitia na kufanya yasikalike.

Nilipoanza kuzoea nikatumbuliwa, (wengi hawapendi kuusema huu ukweli mchungu) na huo ndiyo ukawa mwisho wangu wa kuishi huko.
 
Duh pole sana mkuu, ila ndio hivyo ..safari haikosi changamoto.

Ahsabte pia kwa ufafanuzi wako wa kiwangi cha phd

Vp kuhusu mzunguko wa fedha hapo bariadii
 
Habarini wana nzengo wa Bariadi na mlio na experience na mahali hapo.

Ningependa kujua mawili matatu kuhusu Bariadi, yani hali yake ya sasa ya kimaendelo, kasi ya ukuaji wa mji, nguvu ya pesa na manunuzi pia na mvuto wake katika fursa mbali mbali za mahali pale

Karibuni............................
Karibu kidinda bariad
 
Duh pole sana mkuu, ila ndio hivyo ..safari haikosi changamoto.

Ahsabte pia kwa ufafanuzi wako wa kiwangi cha phd

Vp kuhusu mzunguko wa fedha hapo bariadii
Si mkubwa sana kama ilivyo kwa miji mikubwa.

Vyanzo vya fedha ni biashara, kilimo na wafanyakazi wachache.

Ukiwa na kipato hata kiwango cha chini, utainjoi sana maisha.

Nilichokisahau kukieleza mwanzo ni utapeli, wanyantuzu wengi ni matapeli wanaojifanya hawajui kila kitu.

Mtu unakuta anajifanya hajui kuanzia kiswahili, hajui mahali alipo, hajui alichokishika, yaani hajui kilakitu!
Ukihadaika na ujinga wake huo, basi wewe ndiye utakuwa ni mjinga wake, utaliwa!
 
Back
Top Bottom