Mnaohoji kuhusu Ruzuku ya Chadema kokotoa bei ya hizo Gari za chama

Hivi Mbowe ameweza vipi kuwa-brainwash vijana?

Kweli tumeingia kwenye huu mtego! Eti ruzuku baada ya kulalamikiwa ndo tunaoneshwa picha za magari (sample, ambayo kama ni halali basi sample hiyo ni 100% ya population), na kafanikiwa, I doubt kama Ufipa nao hawana kitengo cha buku7 kama Lumumba
 
Mnaohoji kuhusu ruzuku ndani ya Chadema sasa kokotoeni bei ya hizo Ford Ranger zilizoingia na kodi zimelipiwa zote kikamilifu TRA wamelamba chao
Sio kama Yale makontena ya bashite yanaingizwa kinyemela hata kodi hajalipa

Chadema ni chama cha Mfano tanzania
Ccm huingiza gari kama hizi lakini kodi hazilipiwi mwenye kubisha aje na ushahidi

Chadema Forever

View attachment 901117View attachment 901118
Mangi wenu kapewa msaada hizo gari. Hakuna hela iliyotumika.
Mmepigwa changa la macho
 
Hivi Mbowe ameweza vipi kuwa-brainwash vijana?

Kweli tumeingia kwenye huu mtego! Eti ruzuku baada ya kulalamikiwa ndo tunaoneshwa picha za magari (sample, ambayo kama ni halali basi sample hiyo ni 100% ya population), na kafanikiwa, I doubt kama Ufipa nao hawana kitengo cha buku7 kama Lumumba
tuonyeshe sample ya magari ya ccm , mbali na haya ya polisi mnayoyatumia .
 
Sikulaumi ila unautumwa ndani ya chama chako ndyo maana hufikirii upande Wa shiling naomba ujibu maswali Haya!!

Kwanza nawapongeza kwa kununua gari ña pia washukuruni CCM ambao wamepiga Kelele juu ya ruzuku za chama hasa wabunge ambao wamehama Chama koz wamesaidia mmenunua ila kujisafisha

Hivi Chama kina ofisi na kumbi za kufanyia mikutano??? Na zinakiwango gani??? Kama ndyo Kwann mtumie hela za wanachama kwenda kufanya mikutano kwenye hotel kubwa wakat maisha ya wanachama wenu ni ya kutupwa???? Kwan kama mnakumbi au ofisi kwann hamukuenda kufanyia humo uzinduzi huo???? Je hivi kwa mazingira Haya mna maanisha kile mkisemacho???? Kama sashv mnatumia gharama kubwa je mkishika nchi?????

Huoni kutuambia tupige mahesabu kuhusu magar Haya unadhibitisha kwmba Chama kinatafuna ruzuku???? Kwann hamkununua mwanzo??? Why Leo???? Kisa makelel ya ruzuku????
Wakati M4C inaasisiwa pia walinunua hizo ford range,je pia ilikuwa ni makelele yenu?.
Je kwa ulimwengu wa sasa ni lazima chama kujenga ofisi na kumbi za mikutano?.Je uko duniani vyama vyote vina hizo kumbi na ofisi ili kujiendesha?.
Mnafanya siasa za kitoto sana.
 
tuonyeshe sample ya magari ya ccm , mbali na haya ya polisi mnayoyatumia .

Kama CCM walivyo, ukiwapinga wanakuita CDM badala ya kujibu kwa hoja.

The same same kwenu, ningetegemea uje na hoja za umiliki, idadi kamili ya magari, kwa nini magari na si kujenga ofisi za matawi, kutengeneza base kama vitongoji, vijiji, wilaya na mikoa.

Eti unaniita CCM! Very disgusting kwa watu mnaojiita mnataka kuitoa CCM madaraka.
 
Siwezi kuhangaika na tuhuma za kijinga za kadi kuwa na jina la Mbowe huku mtoa tuhuma akishindwa kuonyesha hata kadi moja .
 
Ukihoji chochote kuhusu chama fulani basi wewe ni mpinzani wao. Tumeletewa sample ya gari tano kuwa ndio matumizi ya ruzuku...tupige makofi huku tukishanglia 'people'sssssss.....powerrrrrrr'
 
Siwezi kuhangaika na tuhuma za kijinga za kadi kuwa na jina la Mbowe huku mtoa tuhuma akishindwa kuonyesha hata kadi moja .

Sawa mkuu, ushauri wangu kwenu kama watetezi ni kwamba msiingie kwenye mtego wa kukwepa hoja kwa kuwabatiza majina ya CCM wanaowapinga, hayo ni mambo ya CCM kukwepa hoja, jitofautisheni ili tuwaone kwamba siyo walewale.
 
Ukihoji chochote kuhusu chama fulani basi wewe ni mpinzani wao. Tumeletewa sample ya gari tano kuwa ndio matumizi ya ruzuku...tupige makofi huku tukishanglia 'people'sssssss.....powerrrrrrr'

Mara nyingi tumekuwa tukilalamika kwamba CCM wanakimbia mijadala, hawataki kujibu vitu kwa hoja, wanakimbilia kutukana au kukaa kimya.

CDM tulitegemea kama chama kinachojitangaza kutaka kuitoa CCM madarakani hakioneshi tofauti kwenye hilo, ni wale wale.
 
Back
Top Bottom