Fundi mahiri wa ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 3,954
- 2,439
Mkuu kwema! Zamasiku?Mkuu mbona una complicate maisha? Nimeona gari tano,nimetoa bei niijuayo mimi kwa hizo gari tano sina la zaidi.
Mkuu kwema! Zamasiku?Mkuu mbona una complicate maisha? Nimeona gari tano,nimetoa bei niijuayo mimi kwa hizo gari tano sina la zaidi.
mwizi wa spea utamjua tu .
Mangi wenu kapewa msaada hizo gari. Hakuna hela iliyotumika.Mnaohoji kuhusu ruzuku ndani ya Chadema sasa kokotoeni bei ya hizo Ford Ranger zilizoingia na kodi zimelipiwa zote kikamilifu TRA wamelamba chao
Sio kama Yale makontena ya bashite yanaingizwa kinyemela hata kodi hajalipa
Chadema ni chama cha Mfano tanzania
Ccm huingiza gari kama hizi lakini kodi hazilipiwi mwenye kubisha aje na ushahidi
Chadema Forever
View attachment 901117View attachment 901118
Kwa hiyo kwa sababu wamenunua magari,Siyo chama makini?Hapana, ila kwasababu CDM ni chama makini ni vizuri wangetumia hela hizo kwa wananchi wake kuliko kununulia magari.
tuonyeshe sample ya magari ya ccm , mbali na haya ya polisi mnayoyatumia .Hivi Mbowe ameweza vipi kuwa-brainwash vijana?
Kweli tumeingia kwenye huu mtego! Eti ruzuku baada ya kulalamikiwa ndo tunaoneshwa picha za magari (sample, ambayo kama ni halali basi sample hiyo ni 100% ya population), na kafanikiwa, I doubt kama Ufipa nao hawana kitengo cha buku7 kama Lumumba
Wakati M4C inaasisiwa pia walinunua hizo ford range,je pia ilikuwa ni makelele yenu?.Sikulaumi ila unautumwa ndani ya chama chako ndyo maana hufikirii upande Wa shiling naomba ujibu maswali Haya!!
Kwanza nawapongeza kwa kununua gari ña pia washukuruni CCM ambao wamepiga Kelele juu ya ruzuku za chama hasa wabunge ambao wamehama Chama koz wamesaidia mmenunua ila kujisafisha
Hivi Chama kina ofisi na kumbi za kufanyia mikutano??? Na zinakiwango gani??? Kama ndyo Kwann mtumie hela za wanachama kwenda kufanya mikutano kwenye hotel kubwa wakat maisha ya wanachama wenu ni ya kutupwa???? Kwan kama mnakumbi au ofisi kwann hamukuenda kufanyia humo uzinduzi huo???? Je hivi kwa mazingira Haya mna maanisha kile mkisemacho???? Kama sashv mnatumia gharama kubwa je mkishika nchi?????
Huoni kutuambia tupige mahesabu kuhusu magar Haya unadhibitisha kwmba Chama kinatafuna ruzuku???? Kwann hamkununua mwanzo??? Why Leo???? Kisa makelel ya ruzuku????
Wewe wasema.Kwa hiyo kwa sababu wamenunua magari,Siyo chama makini?
tuonyeshe sample ya magari ya ccm , mbali na haya ya polisi mnayoyatumia .
Siwezi kuhangaika na tuhuma za kijinga za kadi kuwa na jina la Mbowe huku mtoa tuhuma akishindwa kuonyesha hata kadi moja .Kama CCM walivyo, ukiwapinga wanakuita CDM badala ya kujibu kwa hoja.
The same same kwenu, ningetegemea uje na hoja za umiliki, idadi kamili ya magari, kwa nini magari na si kujenga ofisi za matawi, kutengeneza base kama vitongoji, vijiji, wilaya na mikoa.
Eti unaniita CCM! Very disgusting kwa watu mnaojiita mnataka kuitoa CCM madaraka.
Ukihoji chochote kuhusu chama fulani basi wewe ni mpinzani wao. Tumeletewa sample ya gari tano kuwa ndio matumizi ya ruzuku...tupige makofi huku tukishanglia 'people'sssssss.....powerrrrrrr'Kama CCM walivyo, ukiwapinga wanakuita CDM badala ya kujibu kwa hoja.
The same same kwenu, ningetegemea uje na hoja za umiliki, idadi kamili ya magari, kwa nini magari na si kujenga ofisi za matawi, kutengeneza base kama vitongoji, vijiji, wilaya na mikoa.
Eti unaniita CCM! Very disgusting kwa watu mnaojiita mnataka kuitoa CCM madaraka.
Siwezi kuhangaika na tuhuma za kijinga za kadi kuwa na jina la Mbowe huku mtoa tuhuma akishindwa kuonyesha hata kadi moja .
Ukihoji chochote kuhusu chama fulani basi wewe ni mpinzani wao. Tumeletewa sample ya gari tano kuwa ndio matumizi ya ruzuku...tupige makofi huku tukishanglia 'people'sssssss.....powerrrrrrr'
Mkuu kwani kuna watu wanasema hizi gari zina majina ya Mwenyekiti kwenye kadi?Siwezi kuhangaika na tuhuma za kijinga za kadi kuwa na jina la Mbowe huku mtoa tuhuma akishindwa kuonyesha hata kadi moja .
Wewe wasemaje?Wewe wasema.
Hapa nimekumbuka signature ya mwanajf kabangaKati ya baba mwenye nyumba na baba mwenye gari nani zaidi?