Mnaofungua makanisa pembeni ya bar huwa mnakera sana, why?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,045
40,705
Unakuta mwishowe tunaanza kugombania parking bila sababu, huku mziki juu na huku mziki juu, mwishowe wote tunakosa, maana yake nini hii, why?

Kwani maeneo ya kwenda kupigia watu kelele na hiyo kwaya yenu yameisha? Aaagh!
 
Uwanja wa fisi pale wanawake wanapojiuza kuna kanisa, na injili kwenda mbele
 
Unakuta mwishowe tunaanza kugombania parking bila sababu, huku mziki juu na huku mziki juu, mwishowe wote tunakosa, maana yake nini hii, why?

kwani maeneo ya kwenda kupigia watu kelele na hiyo mikwaya yenu yameisha??! Aaagh
Nakuamuru pepo likutoke kwa Jina la Yesu. Sema Amin
 
Kweli kabisa hapo wanazunguwa sna saw na ile unauza pombe lakini mziki unaopiga ni wakimung wakosea kabisa
 
Ukosefu wa usimamizi wa mipango miji ndio unaleta huo mkanganyiko
 
Back
Top Bottom