Mnaofikiri kumnanga Hayati Magufuli ndio kula yenu basi subirini muone yatakayotokea

mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
9,447
2,000
Dai k
Hayati Magufuli Mungu amlaze mahali pema peponi. Amekufa na siri nzito za Taifa hili na ameacha cheche za mapinduzi ndani ya watanzania na cheche hizi hazito waacha watu salama wanao dhani kifo cha Hayati Magufuli ni fursa kwao. Hili ni kama ndoto Magufuli atafufuka na atakapo fufuka kila mtu atasema kweli Magufuli alikuwa nabii.
Ukiwa kiongozi hutopendwa na watu wote na hasa kiti alikalia Hayati Magufuli. Wengi hawakupenda ila wachache walisena awe Rais hata kwa mwaka mmoja Mungu akampa miaka sita. Mungu alimpa Magufuli nafasi kulitawala taifa hili kama alivyo wanyima nafasi watu wengi kulitawala taifa hili.
Jitihada zakumuona Magufuli alikuwa sio kiongozi mzuri ni jitihada za wanadam. Ila Mungu amemaliza kazi na Magufuli ole kwa walio baki.
Mimi natabiri wengi wao hawatokikalia hiko kiti nawaona wanajitahidi sana kuwa underground wakidhani watakalia kiti nawaapia Rais ajaye hakuna anaye mjuwa japo wachache wanamdhania.
Nikiongozi alie na moyo uliopondeka hana makuu wala wengi hawamdhanii na hao vijana watazima wakidhani watakuwa marais wa Taifa hili mbona watoto wa Nyerere wametulia why vijana ambao hata hawapo kwenye List wanasumbuwa?
Fungueni macho na muone jitihada zenu zitakutana na shimo refu nakamwe hamtotoka salama.
Mungu ibariki Tanzania.
Dai katiba Ili ikupunguziemaumivu ya kufiwa na mungu wenu kichaa
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
36,002
2,000
Vile mwendakuzimu amefurahia uzi wako huu kutokea huko kuzimu.
162869316286936.jpg
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
30,054
2,000
Hayati Magufuli Mungu amlaze mahali pema peponi. Amekufa na siri nzito za Taifa hili na ameacha cheche za mapinduzi ndani ya watanzania na cheche hizi hazito waacha watu salama wanao dhani kifo cha Hayati Magufuli ni fursa kwao. Hili ni kama ndoto Magufuli atafufuka na atakapo fufuka kila mtu atasema kweli Magufuli alikuwa nabii.
Ukiwa kiongozi hutopendwa na watu wote na hasa kiti alikalia Hayati Magufuli. Wengi hawakupenda ila wachache walisena awe Rais hata kwa mwaka mmoja Mungu akampa miaka sita. Mungu alimpa Magufuli nafasi kulitawala taifa hili kama alivyo wanyima nafasi watu wengi kulitawala taifa hili.
Jitihada zakumuona Magufuli alikuwa sio kiongozi mzuri ni jitihada za wanadam. Ila Mungu amemaliza kazi na Magufuli ole kwa walio baki.
Mimi natabiri wengi wao hawatokikalia hiko kiti nawaona wanajitahidi sana kuwa underground wakidhani watakalia kiti nawaapia Rais ajaye hakuna anaye mjuwa japo wachache wanamdhania.
Nikiongozi alie na moyo uliopondeka hana makuu wala wengi hawamdhanii na hao vijana watazima wakidhani watakuwa marais wa Taifa hili mbona watoto wa Nyerere wametulia why vijana ambao hata hawapo kwenye List wanasumbuwa?
Fungueni macho na muone jitihada zenu zitakutana na shimo refu nakamwe hamtotoka salama.
Mungu ibariki Tanzania.stupid wala hakuna zaid cvha kuona s sana mtazidi kuua watu

Hakuna cha kuna zaidi, sana sana mtazidi KUUA watu, mnafhamika fika it is only a matter of time
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
30,054
2,000
Hayati Magufuli Mungu amlaze mahali pema peponi. Amekufa na siri nzito za Taifa hili na ameacha cheche za mapinduzi ndani ya watanzania na cheche hizi hazito waacha watu salama wanao dhani kifo cha Hayati Magufuli ni fursa kwao. Hili ni kama ndoto Magufuli atafufuka na atakapo fufuka kila mtu atasema kweli Magufuli alikuwa nabii.
Ukiwa kiongozi hutopendwa na watu wote na hasa kiti alikalia Hayati Magufuli. Wengi hawakupenda ila wachache walisena awe Rais hata kwa mwaka mmoja Mungu akampa miaka sita. Mungu alimpa Magufuli nafasi kulitawala taifa hili kama alivyo wanyima nafasi watu wengi kulitawala taifa hili.
Jitihada zakumuona Magufuli alikuwa sio kiongozi mzuri ni jitihada za wanadam. Ila Mungu amemaliza kazi na Magufuli ole kwa walio baki.
Mimi natabiri wengi wao hawatokikalia hiko kiti nawaona wanajitahidi sana kuwa underground wakidhani watakalia kiti nawaapia Rais ajaye hakuna anaye mjuwa japo wachache wanamdhania.
Nikiongozi alie na moyo uliopondeka hana makuu wala wengi hawamdhanii na hao vijana watazima wakidhani watakuwa marais wa Taifa hili mbona watoto wa Nyerere wametulia why vijana ambao hata hawapo kwenye List wanasumbuwa?
Fungueni macho na muone jitihada zenu zitakutana na shimo refu nakamwe hamtotoka salama.
Mungu ibariki Tanzania.
kafie kaburini na jiwe wako pumbavu
 
MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Oct 23, 2013
9,487

Vipi anatarajia kufufuka mwehu Meko??
 
Drifter

JF-Expert Member
Jan 4, 2010
3,282
2,000
Wewe jamaa ni mpuuzi sana.

Kwani Magu ni nani nchi hii ??

Alikuwa Rais na ameshasepa.

Kwani Magu ni nani hasa.

Mnamwona Samia ni mstaarabu ameamua kukaa kimya, wakubwa kufichiana aibu harabu mnaona kama vile huyo kibewngo alikuwa special case.

Kwa kukusaidia tu, nchi hii ukishakuwa Rais ni FINAL. Kama vile ambavyo alikuwa FINAL wakati ni Rais ndivyo Samia alivyo FINAL sasa hivi.

Hata akifufuka huyo kibwengo sasa hivi ingawa hawezi, atakuwa kawaida tu kwasababu HATAKUWA RAIS.

Kwahiyo nyie misukule yake zoeeni maisha.

Mlidhani COVID-19 inaoogopa RISASI.
Yaani akifufuka ataelekea nyumbani kwake pale Chato bila protokali zozote?
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
18,741
2,000
Yaani akifufuka ataelekea nyumbani kwake pale Chato bila protokali zozote?
Akifufuka atakuwa kama Mwinyi tu.

Labda misukule ijenge madhabahu ianze kumwabudu, ila hawezi kuwa Rais tena.

Nchi hii alikiwepo Nyerere, kajenga msingi na sasa hivi watu wanaishi.

Sasa hawa misukule kila wakati Magu Magu. Who is Magu as of now ???

Huoni kina Kalemani wamefukuzwa na wako kimya.

Walete fyoko fyoko halafu waambiwe wakalete CCTV za tukio la Lissu waone.
 
Kamugumya

JF-Expert Member
Aug 18, 2021
703
1,000
Tumlaumu Sana aliyeruhusu sigara za nyota kuvutwa. Zimevuruga akili za vijana wengi. Magufuli anafufuka kwenda wapi? Wenzie kina Bokasa,Mobutu,Amin walomtangulia mbona bado hawajafufuka?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom