Mnaoenda kuaga:sio wote wanakuja kumuaga kanumba wengine wako kazini kuwaibia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnaoenda kuaga:sio wote wanakuja kumuaga kanumba wengine wako kazini kuwaibia

Discussion in 'Celebrities Forum' started by BASIASI, Apr 10, 2012.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,111
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Si vibaya tukaweka wazi
  ndugu zangu mnaokuja kwenye msiba wetu wa kijana wetu mpendwa
  lazima mjue na muwe makini sana sana hali ni mbaya dunia imebadilka
  ndugu zanguni naomba niweke wazi kwenye mikusanyiko ya wengi shwetani ndio sehemu yake

  hivyo hivyo ujue mnapokuja kuaga sio wote wako kwa ajili ya kuaga wengine wako
  kikazi zaidi kuanzia kwenye magari yenu mpaka kwenye mifuko yenu .....ni vyema sasa
  kama uko njiani mwambie nduguyo aisache valuables kwenye gari wapo walionunua
  miwani kwa ajili ya kuchungulia tinted kuna nini ndani...naomba msilie mara mbili
  msiba wa kanumba unatosha kutuliza
   
Loading...