Mnaodhani mnamtukana Rais Magufuli mjue mnatukana taasisi ya urais na si Magufuli as personal

omtiti

JF-Expert Member
Jun 19, 2019
1,022
1,590
Kuna wimbi limeibuka la kuanzisha thread kila uchao,zisizo na mashiko,za kipuuzi,zenye lengo la kumdhihaki na kumtukana rais Magufuli,zikiwa na lengo la kumvunja moyo na kumtisha.nasema halitafanikiwa.

Napenda kuwafahamisha wale wanaoanzisha thread hizo ,ya kwamba hawamtukani Rais Magufuli pekee ,bali wanadhihaki na kuikejeri taasisi ya urais,ambayo ina muundo wake mkubwa ,ikiwa imejaa watumishi wa taaluma mbalimbali,na wenye weledi wa hali ya juu sana.

Taasisi hii haiwezi kukubali idhalilishwe na kutukanwa kwa kisingizio cha uhuru wa kutoa maoni,na haikubaliki popote pale duniani.
Natoa onyo kwa wale ambao hawaamini katika kukosoa na kutoa njia mbadala kama njia ya kujenga taifa ,bali wao huamini katika matusi na dhihaka kwa wengine,waache mara moja,kwani hiyo ni jinai ina vifungu vya adhabu kwa mujibu wa sheria za nchi.
Hatua kali zitachukuliwa dhidi yao ,popote pale walipo bila haya wala hiyana..

Ni wajibu wako wewe raia kuchuja aina ya maelezo unayoyaleta mbele ya hadhara(jamii),
Ukidharau na kufanya kwa kuiga ili mradi uonekane ni shujaa,usije blame mtu yoyote,bali blame yourself

Dawa inachemka,lengo ni kujenga nidhamu ya watanzania,iliyomomonyoka kwa kushindwa kutumia utandawazi kiistarabu kujiletea maendeleo.
 
Ni ajabu pale ambapo taasisi ya urais inatoa matusi hadharani,maana tulisikia akijigamba huwa anawatukana mawaziri "Pumbavu" kwenye simu!!!
Kwa maana hiyo taasis nzima inakuwa imetukana kwa mujibu wa maelezo yako!
 
Matusi tumefundishwa na hiyo taasisi yenyewe maana imekuwa ikiwatusi watu kuwa ni wapumbavu. Mtoto hujivunza toka kwa baba siku ukimzingua na alishakuwa mkubwa naye atakutukana kama ulivyokuwa unamtukana.

An eye for an eye.Tooth for tooth.
 
Kuna wimbi limeibuka la kuanzisha thread kila uchao,zisizo na mashiko,za kipuuzi,zenye lengo la kumdhihaki na kumtukana rais Magufuli,zikiwa na lengo la kumvunja moyo na kumtisha.nasema halitafanikiwa.

Napenda kuwafahamisha wale wanaoanzisha thread hizo ,ya kwamba hawamtukani Rais Magufuli pekee ,bali wanadhihaki na kuikejeri taasisi ya urais,ambayo ina muundo wake mkubwa ,ikiwa imejaa watumishi wa taaluma mbalimbali,na wenye weledi wa hali ya juu sana.

Taasisi hii haiwezi kukubali idhalilishwe na kutukanwa kwa kisingizio cha uhuru wa kutoa maoni,na haikubaliki popote pale duniani.
Natoa onyo kwa wale ambao hawaamini katika kukosoa na kutoa njia mbadala kama njia ya kujenga taifa ,bali wao huamini katika matusi na dhihaka kwa wengine,waache mara moja,kwani hiyo ni jinai ina vifungu vya adhabu kwa mujibu wa sheria za nchi.
Hatua kali zitachukuliwa dhidi yao ,popote pale walipo bila haya wala hiyana..

Ni wajibu wako wewe raia kuchuja aina ya maelezo unayoyaleta mbele ya hadhara(jamii),
Ukidharau na kufanya kwa kuiga ili mradi uonekane ni shujaa,usije blame mtu yoyote,bali blame yourself

Dawa inachemka,lengo ni kujenga nidhamu ya watanzania,iliyomomonyoka kwa kushindwa kutumia utandawazi kiistarabu kujiletea maendeleo.
Taasisi yenyewe inaongozwa na washamba na malimbukeni inafanya mambo ya kuteka watu kuwapoteza na mabavu ya aina nyingi kwanini isizodolewe?
 
Kuna wimbi limeibuka la kuanzisha thread kila uchao,zisizo na mashiko,za kipuuzi,zenye lengo la kumdhihaki na kumtukana rais Magufuli,zikiwa na lengo la kumvunja moyo na kumtisha.nasema halitafanikiwa.

Napenda kuwafahamisha wale wanaoanzisha thread hizo ,ya kwamba hawamtukani Rais Magufuli pekee ,bali wanadhihaki na kuikejeri taasisi ya urais,ambayo ina muundo wake mkubwa ,ikiwa imejaa watumishi wa taaluma mbalimbali,na wenye weledi wa hali ya juu sana.

Taasisi hii haiwezi kukubali idhalilishwe na kutukanwa kwa kisingizio cha uhuru wa kutoa maoni,na haikubaliki popote pale duniani.
Natoa onyo kwa wale ambao hawaamini katika kukosoa na kutoa njia mbadala kama njia ya kujenga taifa ,bali wao huamini katika matusi na dhihaka kwa wengine,waache mara moja,kwani hiyo ni jinai ina vifungu vya adhabu kwa mujibu wa sheria za nchi.
Hatua kali zitachukuliwa dhidi yao ,popote pale walipo bila haya wala hiyana..

Ni wajibu wako wewe raia kuchuja aina ya maelezo unayoyaleta mbele ya hadhara(jamii),
Ukidharau na kufanya kwa kuiga ili mradi uonekane ni shujaa,usije blame mtu yoyote,bali blame yourself

Dawa inachemka,lengo ni kujenga nidhamu ya watanzania,iliyomomonyoka kwa kushindwa kutumia utandawazi kiistarabu kujiletea maendeleo.

Rudi kamwambie huyo aliyekutuma kuja kutuambia huu Upuuzi wako hapa kuwa Wewe na Yeye wote ni Wapumbavu wakubwa hapa nchini Tanzania.
 
Kuna wimbi limeibuka la kuanzisha thread kila uchao,zisizo na mashiko,za kipuuzi,zenye lengo la kumdhihaki na kumtukana rais Magufuli,zikiwa na lengo la kumvunja moyo na kumtisha.nasema halitafanikiwa.

Napenda kuwafahamisha wale wanaoanzisha thread hizo ,ya kwamba hawamtukani Rais Magufuli pekee ,bali wanadhihaki na kuikejeri taasisi ya urais,ambayo ina muundo wake mkubwa ,ikiwa imejaa watumishi wa taaluma mbalimbali,na wenye weledi wa hali ya juu sana.

Taasisi hii haiwezi kukubali idhalilishwe na kutukanwa kwa kisingizio cha uhuru wa kutoa maoni,na haikubaliki popote pale duniani.
Natoa onyo kwa wale ambao hawaamini katika kukosoa na kutoa njia mbadala kama njia ya kujenga taifa ,bali wao huamini katika matusi na dhihaka kwa wengine,waache mara moja,kwani hiyo ni jinai ina vifungu vya adhabu kwa mujibu wa sheria za nchi.
Hatua kali zitachukuliwa dhidi yao ,popote pale walipo bila haya wala hiyana..

Ni wajibu wako wewe raia kuchuja aina ya maelezo unayoyaleta mbele ya hadhara(jamii),
Ukidharau na kufanya kwa kuiga ili mradi uonekane ni shujaa,usije blame mtu yoyote,bali blame yourself

Dawa inachemka,lengo ni kujenga nidhamu ya watanzania,iliyomomonyoka kwa kushindwa kutumia utandawazi kiistarabu kujiletea maendeleo.
praiz timu hii bila shaka
 
pum-b-avu

Uzi kama huu sio kwamba unamtetea rais bali unatoa vitisho kwa wakosoaji kwa kujificha kwenye kichaka cha matusi. Hakuna popote rais anapotukanwa bali anapewa ukweli wake ambao hana uvumilivu wa kuusikia. Kwa hiyo ili kufanikisha yeye asikosolewe kunawekwa vitisho kwa vigezo vya hao hao waweka vitisho kwamba ni matusi.

Hapa tunasema wazi wazi kwamba toka rais huyu kaingia madarakani box la kura haliheshimiwi, tumekuwa tukiona ukatili na uhayawani wa wazi, tena kwa uratibu wa vyombo vya dola. Kwa sababu huu ndio maana wapiga kura wengi wameamua kutikujitokeza kupiga kura. Hapa hakuna chembe ya tusi bali ni ukweli usiompendeza. Hataki katiba mpya ambayo ilikuwa kwenye hatua ya kura, ili atawale kwa kutumia katiba yenye mapungufu. Afahamu katiba iko juu yake na sio suala la utashi wa rais bali ni jambo la umma. Hapa hakuna matusi bali ni ukweli asioutaka. Kama yeye hataki katiba mpya kisa ni rais kwa kisingizio kwamba analeta maendeleo, akae pembeni, kuna wengine watayaleta hayo maendeleo na katiba mpya kwa pamoja. Madaraka ya rais na urais usitumike kunyanyasa wenye mitazamo tofauti na yeye kwa kisingizio cha matusi.
 
Matusi tumefundishwa na hiyo taasisi yenyewe maana imekuwa ikiwatusi watu kuwa ni wapumbavu. Mtoto hujivunza toka kwa baba siku ukimzingua na alishakuwa mkubwa naye atakutukana kama ulivyokuwa unamtukana.

An eye for an eye.Tooth for tooth.
Rais Magufuli is strongman and always atakuwa strongman. Wacha atujengee nchi
Watanzania watamkumbuka
 
Mkuu lazima ujue kuna Magufuli kama Magufuli na kuna Magufuli kama rais sasa kuna mahali Magufuli anazingua yeye binafsi na kuna mahali anazingua kama Rais. Anaposimama hadharani na kusema yeye ni jiwe au ni kichaa basi tambua ukichaa huo ni wake yeye binafsi siyo taasisi.

bila links ya thread unazosema zinamtukana Magufuli basi uzi wako huu ni majungu tu.
 
Kuna wimbi limeibuka la kuanzisha thread kila uchao,zisizo na mashiko,za kipuuzi,zenye lengo la kumdhihaki na kumtukana rais Magufuli,zikiwa na lengo la kumvunja moyo na kumtisha.nasema halitafanikiwa.

Napenda kuwafahamisha wale wanaoanzisha thread hizo ,ya kwamba hawamtukani Rais Magufuli pekee ,bali wanadhihaki na kuikejeri taasisi ya urais,ambayo ina muundo wake mkubwa ,ikiwa imejaa watumishi wa taaluma mbalimbali,na wenye weledi wa hali ya juu sana.

Taasisi hii haiwezi kukubali idhalilishwe na kutukanwa kwa kisingizio cha uhuru wa kutoa maoni,na haikubaliki popote pale duniani.
Natoa onyo kwa wale ambao hawaamini katika kukosoa na kutoa njia mbadala kama njia ya kujenga taifa ,bali wao huamini katika matusi na dhihaka kwa wengine,waache mara moja,kwani hiyo ni jinai ina vifungu vya adhabu kwa mujibu wa sheria za nchi.
Hatua kali zitachukuliwa dhidi yao ,popote pale walipo bila haya wala hiyana..

Ni wajibu wako wewe raia kuchuja aina ya maelezo unayoyaleta mbele ya hadhara(jamii),
Ukidharau na kufanya kwa kuiga ili mradi uonekane ni shujaa,usije blame mtu yoyote,bali blame yourself

Dawa inachemka,lengo ni kujenga nidhamu ya watanzania,iliyomomonyoka kwa kushindwa kutumia utandawazi kiistarabu kujiletea maendeleo.

Yamemzuia vipi kutekeleza majukumu yake,je yamemzuia kununua ndege,SGR, kuifanya chatu iizidi Dubai, kukuza uchumi MBONA mambo yanaenda uchumi unakua Kwa kasi tu.Kelele za mlango hazimzuii mlalaji.Mungu Mwenyezi Muumba mbingu na nchi anasakamwa anatukananwa anakosolewa sembuse sie wanadamu tuliozaliwa na mwanamke?Ukiwa na ngozi nyembamba uongozi haukfai.Wenzetu uwaza na kufikiri mambo makubwa kelele za MILANGO aziwanyimi usingizi au kufanya mambo yao,wameshindwa viongozi wa dini kuleta displini kwenye jamii ndo mtaweza?Zama zimebadilika ni ngumu kuwafanya watu wote wafanane mawazo na tabia.
 
Kwani kuna taasisi ya Urais hapa Tanzania kwasasa? Naona Magufuli ndiyo Rais na Taasisi ni ya Urais ni Magufuli, hakuna Tofauti. We need Strong Institutions and not Strong Leader. Katiba Mpya ndiyo Jawabu.
 
Kuna wimbi limeibuka la kuanzisha thread kila uchao,zisizo na mashiko,za kipuuzi,zenye lengo la kumdhihaki na kumtukana rais Magufuli,zikiwa na lengo la kumvunja moyo na kumtisha.nasema halitafanikiwa.

Napenda kuwafahamisha wale wanaoanzisha thread hizo ,ya kwamba hawamtukani Rais Magufuli pekee ,bali wanadhihaki na kuikejeri taasisi ya urais,ambayo ina muundo wake mkubwa ,ikiwa imejaa watumishi wa taaluma mbalimbali,na wenye weledi wa hali ya juu sana.

Taasisi hii haiwezi kukubali idhalilishwe na kutukanwa kwa kisingizio cha uhuru wa kutoa maoni,na haikubaliki popote pale duniani.
Natoa onyo kwa wale ambao hawaamini katika kukosoa na kutoa njia mbadala kama njia ya kujenga taifa ,bali wao huamini katika matusi na dhihaka kwa wengine,waache mara moja,kwani hiyo ni jinai ina vifungu vya adhabu kwa mujibu wa sheria za nchi.
Hatua kali zitachukuliwa dhidi yao ,popote pale walipo bila haya wala hiyana..

Ni wajibu wako wewe raia kuchuja aina ya maelezo unayoyaleta mbele ya hadhara(jamii),
Ukidharau na kufanya kwa kuiga ili mradi uonekane ni shujaa,usije blame mtu yoyote,bali blame yourself

Dawa inachemka,lengo ni kujenga nidhamu ya watanzania,iliyomomonyoka kwa kushindwa kutumia utandawazi kiistarabu kujiletea maendeleo.

Huyo Rais ninamashaka kama hata maana ƴa taasisi anajua!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom