Mnaofikiri kumnanga Hayati Magufuli ndio kula yenu basi subirini muone yatakayotokea

Dai k
Hayati Magufuli Mungu amlaze mahali pema peponi. Amekufa na siri nzito za Taifa hili na ameacha cheche za mapinduzi ndani ya watanzania na cheche hizi hazito waacha watu salama wanao dhani kifo cha Hayati Magufuli ni fursa kwao. Hili ni kama ndoto Magufuli atafufuka na atakapo fufuka kila mtu atasema kweli Magufuli alikuwa nabii.
Ukiwa kiongozi hutopendwa na watu wote na hasa kiti alikalia Hayati Magufuli. Wengi hawakupenda ila wachache walisena awe Rais hata kwa mwaka mmoja Mungu akampa miaka sita. Mungu alimpa Magufuli nafasi kulitawala taifa hili kama alivyo wanyima nafasi watu wengi kulitawala taifa hili.
Jitihada zakumuona Magufuli alikuwa sio kiongozi mzuri ni jitihada za wanadam. Ila Mungu amemaliza kazi na Magufuli ole kwa walio baki.
Mimi natabiri wengi wao hawatokikalia hiko kiti nawaona wanajitahidi sana kuwa underground wakidhani watakalia kiti nawaapia Rais ajaye hakuna anaye mjuwa japo wachache wanamdhania.
Nikiongozi alie na moyo uliopondeka hana makuu wala wengi hawamdhanii na hao vijana watazima wakidhani watakuwa marais wa Taifa hili mbona watoto wa Nyerere wametulia why vijana ambao hata hawapo kwenye List wanasumbuwa?
Fungueni macho na muone jitihada zenu zitakutana na shimo refu nakamwe hamtotoka salama.
Mungu ibariki Tanzania.
Dai katiba Ili ikupunguziemaumivu ya kufiwa na mungu wenu kichaa
 
Vile mwendakuzimu amefurahia uzi wako huu kutokea huko kuzimu.
162869316286936.jpg
 
Hayati Magufuli Mungu amlaze mahali pema peponi. Amekufa na siri nzito za Taifa hili na ameacha cheche za mapinduzi ndani ya watanzania na cheche hizi hazito waacha watu salama wanao dhani kifo cha Hayati Magufuli ni fursa kwao. Hili ni kama ndoto Magufuli atafufuka na atakapo fufuka kila mtu atasema kweli Magufuli alikuwa nabii.
Ukiwa kiongozi hutopendwa na watu wote na hasa kiti alikalia Hayati Magufuli. Wengi hawakupenda ila wachache walisena awe Rais hata kwa mwaka mmoja Mungu akampa miaka sita. Mungu alimpa Magufuli nafasi kulitawala taifa hili kama alivyo wanyima nafasi watu wengi kulitawala taifa hili.
Jitihada zakumuona Magufuli alikuwa sio kiongozi mzuri ni jitihada za wanadam. Ila Mungu amemaliza kazi na Magufuli ole kwa walio baki.
Mimi natabiri wengi wao hawatokikalia hiko kiti nawaona wanajitahidi sana kuwa underground wakidhani watakalia kiti nawaapia Rais ajaye hakuna anaye mjuwa japo wachache wanamdhania.
Nikiongozi alie na moyo uliopondeka hana makuu wala wengi hawamdhanii na hao vijana watazima wakidhani watakuwa marais wa Taifa hili mbona watoto wa Nyerere wametulia why vijana ambao hata hawapo kwenye List wanasumbuwa?
Fungueni macho na muone jitihada zenu zitakutana na shimo refu nakamwe hamtotoka salama.
Mungu ibariki Tanzania.stupid wala hakuna zaid cvha kuona s sana mtazidi kuua watu

Hakuna cha kuna zaidi, sana sana mtazidi KUUA watu, mnafhamika fika it is only a matter of time
 
Hayati Magufuli Mungu amlaze mahali pema peponi. Amekufa na siri nzito za Taifa hili na ameacha cheche za mapinduzi ndani ya watanzania na cheche hizi hazito waacha watu salama wanao dhani kifo cha Hayati Magufuli ni fursa kwao. Hili ni kama ndoto Magufuli atafufuka na atakapo fufuka kila mtu atasema kweli Magufuli alikuwa nabii.
Ukiwa kiongozi hutopendwa na watu wote na hasa kiti alikalia Hayati Magufuli. Wengi hawakupenda ila wachache walisena awe Rais hata kwa mwaka mmoja Mungu akampa miaka sita. Mungu alimpa Magufuli nafasi kulitawala taifa hili kama alivyo wanyima nafasi watu wengi kulitawala taifa hili.
Jitihada zakumuona Magufuli alikuwa sio kiongozi mzuri ni jitihada za wanadam. Ila Mungu amemaliza kazi na Magufuli ole kwa walio baki.
Mimi natabiri wengi wao hawatokikalia hiko kiti nawaona wanajitahidi sana kuwa underground wakidhani watakalia kiti nawaapia Rais ajaye hakuna anaye mjuwa japo wachache wanamdhania.
Nikiongozi alie na moyo uliopondeka hana makuu wala wengi hawamdhanii na hao vijana watazima wakidhani watakuwa marais wa Taifa hili mbona watoto wa Nyerere wametulia why vijana ambao hata hawapo kwenye List wanasumbuwa?
Fungueni macho na muone jitihada zenu zitakutana na shimo refu nakamwe hamtotoka salama.
Mungu ibariki Tanzania.
kafie kaburini na jiwe wako pumbavu
 
Vipi anatarajia kufufuka mwehu Meko??
 
Wewe jamaa ni mpuuzi sana.

Kwani Magu ni nani nchi hii ??

Alikuwa Rais na ameshasepa.

Kwani Magu ni nani hasa.

Mnamwona Samia ni mstaarabu ameamua kukaa kimya, wakubwa kufichiana aibu harabu mnaona kama vile huyo kibewngo alikuwa special case.

Kwa kukusaidia tu, nchi hii ukishakuwa Rais ni FINAL. Kama vile ambavyo alikuwa FINAL wakati ni Rais ndivyo Samia alivyo FINAL sasa hivi.

Hata akifufuka huyo kibwengo sasa hivi ingawa hawezi, atakuwa kawaida tu kwasababu HATAKUWA RAIS.

Kwahiyo nyie misukule yake zoeeni maisha.

Mlidhani COVID-19 inaoogopa RISASI.
Yaani akifufuka ataelekea nyumbani kwake pale Chato bila protokali zozote?
 
Akifufuka atakuwa kama Mwinyi tu.

Labda misukule ijenge madhabahu ianze kumwabudu, ila hawezi kuwa Rais tena.

Nchi hii alikiwepo Nyerere, kajenga msingi na sasa hivi watu wanaishi.

Sasa hawa misukule kila wakati Magu Magu. Who is Magu as of now ???

Huoni kina Kalemani wamefukuzwa na wako kimya.

Walete fyoko fyoko halafu waambiwe wakalete CCTV za tukio la Lissu waone.
 
Tumlaumu Sana aliyeruhusu sigara za nyota kuvutwa. Zimevuruga akili za vijana wengi. Magufuli anafufuka kwenda wapi? Wenzie kina Bokasa,Mobutu,Amin walomtangulia mbona bado hawajafufuka?
 
Mama ndo anaongoza hizo juhudi za kumfifisha Magufuli, alianza kwa kusema anafungua nchi yakafuata masafari ya hovyo hovyo, akadai chama kinarudi kwa wenyewe nk pia anatoa room kwa wanaokejeli. Ila mpaka sasa amekikalia kiti!
Hayati Magufuli Mungu amlaze mahali pema peponi. Amekufa na siri nzito za Taifa hili na ameacha cheche za mapinduzi ndani ya watanzania na cheche hizi hazito waacha watu salama wanao dhani kifo cha Hayati Magufuli ni fursa kwao. Hili ni kama ndoto Magufuli atafufuka na atakapo fufuka kila mtu atasema kweli Magufuli alikuwa nabii.

Ukiwa kiongozi hutopendwa na watu wote na hasa kiti alikalia Hayati Magufuli. Wengi hawakupenda ila wachache walisena awe Rais hata kwa mwaka mmoja Mungu akampa miaka sita. Mungu alimpa Magufuli nafasi kulitawala taifa hili kama alivyo wanyima nafasi watu wengi kulitawala taifa hili.

Jitihada zakumuona Magufuli alikuwa sio kiongozi mzuri ni jitihada za wanadam. Ila Mungu amemaliza kazi na Magufuli ole kwa walio baki.

Mimi natabiri wengi wao hawatokikalia hiko kiti nawaona wanajitahidi sana kuwa underground wakidhani watakalia kiti nawaapia Rais ajaye hakuna anaye mjuwa japo wachache wanamdhania.

Nikiongozi alie na moyo uliopondeka hana makuu wala wengi hawamdhanii na hao vijana watazima wakidhani watakuwa marais wa Taifa hili mbona watoto wa Nyerere wametulia why vijana ambao hata hawapo kwenye List wanasumbuwa?

Fungueni macho na muone jitihada zenu zitakutana na shimo refu nakamwe hamtotoka salama.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Hayati Magufuli Mungu amlaze mahali pema peponi. Amekufa na siri nzito za Taifa hili na ameacha cheche za mapinduzi ndani ya watanzania na cheche hizi hazito waacha watu salama wanao dhani kifo cha Hayati Magufuli ni fursa kwao. Hili ni kama ndoto Magufuli atafufuka na atakapo fufuka kila mtu atasema kweli Magufuli alikuwa nabii.

Ukiwa kiongozi hutopendwa na watu wote na hasa kiti alikalia Hayati Magufuli. Wengi hawakupenda ila wachache walisena awe Rais hata kwa mwaka mmoja Mungu akampa miaka sita. Mungu alimpa Magufuli nafasi kulitawala taifa hili kama alivyo wanyima nafasi watu wengi kulitawala taifa hili.

Jitihada zakumuona Magufuli alikuwa sio kiongozi mzuri ni jitihada za wanadam. Ila Mungu amemaliza kazi na Magufuli ole kwa walio baki.

Mimi natabiri wengi wao hawatokikalia hiko kiti nawaona wanajitahidi sana kuwa underground wakidhani watakalia kiti nawaapia Rais ajaye hakuna anaye mjuwa japo wachache wanamdhania.

Nikiongozi alie na moyo uliopondeka hana makuu wala wengi hawamdhanii na hao vijana watazima wakidhani watakuwa marais wa Taifa hili mbona watoto wa Nyerere wametulia why vijana ambao hata hawapo kwenye List wanasumbuwa?

Fungueni macho na muone jitihada zenu zitakutana na shimo refu nakamwe hamtotoka salama.

Mungu ibariki Tanzania.
Nani anamuongelea Magufuli? Ni kama mnaweweseka, hamuamini kuwa ameenda milele, ndo maana mnakurupuka na malalamiko kuhusu tatizo lisilokuwepo. Watu pekee mnaomkumbuka ni nyie. He's gone. Forever!
 
Ukitaka uwe maarufu sema JPM alikutesa kutaka kukuua kama Mwingira.

Pis hakufanya lolote. Chochote. Alikuwa, Jini Shetani. Tukana.

Kama binadamu wote,kuna mazuri alifanya na vingine alikosea. Watu hawana break.
 
Hadi leo hujawahi kujibu aliyekutuma kumwua Beni Sanane.
Kama Alijiuwa au kupotea alifanya hivyo mwenyewe hakusoma alama za nyakati na hata sisi tulio ona alama za nyakati hakutusikiliza akakutana na aliyo kutana nayo. Nikama nilivyo tabiri kwa akina Ndugai na wengine wengi je nahusika kivipi? Nivile tunapasa kusamehe ila angalia aina ya mtu unaye mwambia yale unamwambia..... End.
 
Anayefifisha juhudi za Magu bado anadunda, kila kukicha safari na kiti kakalia
Kama Alijiuwa au kupotea alifanya hivyo mwenyewe hakusoma alama za nyakati na hata sisi tulio ona alama za nyakati hakutusikiliza akakutana na aliyo kutana nayo. Nikama nilivyo tabiri kwa akina Ndugai na wengine wengi je nahusika kivipi? Nivile tunapasa kusamehe ila angalia aina ya mtu unaye mwambia yale unamwambia..... End.
 
Nimeishia kusoma ulipoandika (Magufuli atafufuka) siwezi jichosha kuendelea kusoma ujinga ulioandika huko chini.
Yaani uliposoma hapo akili ika_stuck haikutaka kuweka dhamira ya uchambuzi but kubeba neno as neno lilivyo, ndipo hapo ulipochemka.
 
Sio yeye aliyesema chama kimerudi kwa wenyewe? (Make chama kiliporwa na Magu)

Sio yeye aliyesema anafungua nchi? ( Make Magu alikuwa ameifunga)

Sio yeye aliyeruhusu chanjo? (Make Magu alitaka kutuua)

Sio yeye aliyesema madini tuwape watu wachimbe maana hatuyali ? ( Maana yake alizuia kitu kisicho na faida)...

N.k.
Acha kuandika uongo.
 
Huko kusema ni Magu alikuwa anakwamisha hakusema yeye ila umeamua tu kumlisha maneno kwa sababu unazozijua wewe.

Nyie ndio mnaoendesha kampeni za kumzushia Mama uongo kwa manufaa yenu binafsi ila Watanzania wazalendo wamegundua hila zenu na hamtafanikiwa.
 
Back
Top Bottom