Mnamkumbuka Huyu?

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,268
17,097
article-2239078-023D4A5E0000044D-600_634x574.jpg
 
Hehehehe Tahira wa Kifaransa Lol tutoke kwenye utahira wa Kifaransa ma Taahira kwenye football wengi tu kama kina Suarez mie kama Mshabiki wa Liverpoolfc nashukuru sijaanza kuujuwa mpira wa England au kufuatilia mipira ya EPL miaka ya 94-96 wengi walioanza kutizama mida hiyo ndio wamejikuta kuwa Mashabiki wa United na Eric Cantona ndio kachangia watu kuwa mashabiki wa Manchester United na uhakika mkubwa.

Eric Cantona ni katika wachezaji nao msifu sana jamaa alikuwa Footballer wa kweli na ndio Mgeni wa kwanza nafikiria Ligi ya Uengereza kukubalika na kuikuza hakuna Footballer aliyeikuza Ligi ya Uengereza kama Eric Cantona na pia yeye ndio kakuza Matangazo mengi sana Nchini Uengereza na kaikuza Kibiashara Manchester united kwa nguvu kubwa sana kama Ligi ya Uengereza wanatakiwa kumshukuru Mtu Basi ni Eric Cantona hasa Manchester United ukitowa Sir Alex ukweli ujulikani wa United ni Eric Cantona na si kina Beckham ndio Beckham kibishara hakuna kama yeye EPL ila Eric Cantona ndio chimbuko so Jamaa Nampa Saluti na katika Goal lake nalokumbuka alilotufunga Final FA CUP.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom