Mnamkumbuka huyu dada!!

Emanuel Makofia

JF-Expert Member
Jan 5, 2010
3,832
630
Mnamkumbuka huyu dada!!
c alidai kaokoka vp mbona karudi kivingine?
au muda wa ulokole umeisha?

dokii.JPG
 
Aaah!! binafsi sioni jipya kwake coz naona matendo yake yanafanana na akili yake wacha 2 wamtumie kama ndomu aisee.
 
Kweli njaa mwanaharamu! Si Dokii huyu ninayemjua au ni photocopy yake!!
 
njaa mwanaharamu!

kweli mkuu!

atapewa ubunge/ukuu wa wilaya/ mkoa muda si mrefu

ukuu wa wilaya unakaribia

Njaa saa nyingine inaweza ikukuumbua kama utakuwa huna msimamo!!!

najiuliza huwa hawajipangi kabla ya kutangaza msimamo wao!

Watamtumia kama walivyomfanya Nakaya

au kizazi kipya kwenye kampeni za mwaka jana!

Halafu inaelekea wameshamharibu tayari, hebu angalia mkao wake ulivyo>>>>>

attachment.php

hata vaaa yake yatia shaka

Aaah!! binafsi sioni jipya kwake coz naona matendo yake yanafanana na akili yake wacha 2 wamtumie kama ndomu aisee.

haaaaa haaaaa haswaaaa!

Kweli njaa mwanaharamu! Si Dokii huyu ninayemjua au ni photocopy yake!!

Ndo MWENYEWE MKUU
 
Kwa hiyo kwa kumuona igunga ndo munahukumu kuwa si mlokole?, kipimo chenu cha ulokole/si ulokole ni kipi?, igunga hakuna walokole?, CCM hakuna walokole?!, kwenye jukwaa la siasa hakuna waliookoka?, nielewesheni ama sivyo kaeni kimya kwani nyie hamuna mizani ya imani.
 
kama CCM kuna walokole basi binadamu wote tutaenda PEPONI!

Back
Top Bottom