Ukinunua kifurushi cha wiki mfano vodacom assume leo trh 1/4/2021 saa 10:30 asubuhi kitaisha 7/4/2021 saa 10:30 asubuhi
Lakini ukinunua kifurushi Azam tv cha wiki mfano trh 1/4/2021 saa 10:30 asubuh wao wanakata trh 6/4/2021 saa 23:59:59 usiku
Kwanini hii siku ya 7 wasiiache hadi muda uliojiungia au hadi iishe kabisa¿??
Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app