Masterkratos
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 584
- 573
Mnaonaje serikali kuhitaji vitu sensitive vya watu kama fingerprints ili tu kusajili line. Kwa nchi nyingine kupata fingerprints za mtu mpaka jambo liwe la msingi sana.
Uki spiriturise kila kitu,ukiwaza kila kitu na kukiangaria kwa macho na elimu ya kiroho,utakuwa mchawi!Mtu hataweza kuuza wala kununua asipokuwa na ile chapa ya MNYAMA. Mimi ndivyo nilivyoelewa.
Hii ni tactical move ndugu yangu. kwa sura ya Nje, tunaona hivyo lakn deep down Kuna kitu kikubwa sana ambacho Serikali inataka kukifanikisha. Hasa kuhusiana na masuala ya usalama, kama ujuavyo fingerprints zimebeba DNA, so you know what I mean. Japo ni ujinga kuwaza hivi, lakn huu ndio mtazamo wangu. Just imagine, link zile detail tulizotoa kwenye vitambulisho vya taifa uongeze zile za unaposajili line, jumlisha za kibenki. Then, kila kitu kutakuwa monitored kule kwa wakubwa. Wengine karibuni mdadavue
Sent using Jamii Forums mobile app
Chapa ya Mnyama ni more of ile chip utakayopandikizwa kwny mkono na sidhani kama fingerprint inahusika apo...Mtu hataweza kuuza wala kununua asipokuwa na ile chapa ya MNYAMA. Mimi ndivyo nilivyoelewa.
Hvi ni mnyama Gani?Chapa ya Mnyama ni more of ile chip utakayopandikizwa kwny mkono na sidhani kama fingerprint inahusika apo...
Sent using Samsung Galaxy
666...AntiChrist...It is more of spiritual things.
Kwa hiyo mkuu kale kachip nakokaona huko magharibi wakipandikizwa mkononi ni 666 ile.666...AntiChrist...It is more of spiritual things.
Sent using Samsung Galaxy
Mkuu kama ni kwa matumizi ya serikali hakuna tabu, mi ningeshauri kuwe hata na national database tusisumbuane kila mahala unaregister upya.
Ila kitu ninachohofia ni data zetu kuuzwa, tumeona kwenye usajili mwanzo jinsi makampuni mbalimbali yalivyopata information zetu kupitia usajili wa line, unapigiwa simu na kampuni ya survey inajua kila kitu kuhusu wewe, ukiwauliza umepata wapi info wanajibu tigo wamewapa.
Mnaonaje serikali kuhitaji vitu sensitive vya watu kama fingerprints ili tu kusajili line. Kwa nchi nyingine kupata fingerprints za mtu mpaka jambo liwe la msingi sana.
Usihofu uncle, ni system ya usalama Na utambuzi tuMnaonaje serikali kuhitaji vitu sensitive vya watu kama fingerprints ili tu kusajili line. Kwa nchi nyingine kupata fingerprints za mtu mpaka jambo liwe la msingi sana.
Ndio mkuu zina faida sana, zinapunguza gharama kwa kampuni kufanya matangazo yasiyo na maana,Ya, kweli jamaa walipata information zetu kiulaini sana na faida ya kuziuza juu. Na inaonekana uuzaji wa information unafaida sana kwasababu naona hadi Google sikuhizi huduma zao nyingi ni free lakini kunakuwa na mirija ya kunyonya information zako kwa ajili ya advertisement.
Japo hii plattform si ya religious issues ngoja nikuelezee kidogo...if you are a christian...kitabu cha ufunuo wa Yohana (Revelation)imeelezea vzuri kuhusu alama ya mnyama mpinga Kristo...wakati wa siku za mwisho watawekwa katika paji la uso na mkononi(right hand) ambapo utakuwa controlled(taarifa zako zote wanazo)...bila hyo alama hutoweza kuuza wala kununua means your surviving gonna be in real struggling...hapo itakuwa ni baada ya unyakuo yaani wakati wa dhiki kuu watakaobakia hapa duniani....I have friends in abdroad(Western countries) told me that by now sehemu kubwa ya Ulaya na America wanatumia cashless system yaani ni credit card yako tu...so from there unaona jinsi gani unaweza kuwa monitored kwa urahisi ukiwa kwny system zao.....There are lot of things I cannnot talk to you here but simply is like that.Kwa hiyo mkuu kale kachip nakokaona huko magharibi wakipandikizwa mkononi ni 666 ile.
Ki vipi inaweza kua 666 na mimi naona ni kachip ka kawaid kabisa tena kanaokoa mambo mengi kenyewe kanabeba utambulisho wako wote hutakua na haja ya kutembea na pasport, lesen au kadi ya benk ila inabeba kila kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app