Mnalionaje hili la Fingerprint ili kusajili line.

Hii ni tactical move ndugu yangu. kwa sura ya Nje, tunaona hivyo lakn deep down Kuna kitu kikubwa sana ambacho Serikali inataka kukifanikisha. Hasa kuhusiana na masuala ya usalama, kama ujuavyo fingerprints zimebeba DNA, so you know what I mean. Japo ni ujinga kuwaza hivi, lakn huu ndio mtazamo wangu. Just imagine, link zile detail tulizotoa kwenye vitambulisho vya taifa uongeze zile za unaposajili line, jumlisha za kibenki. Then, kila kitu kutakuwa monitored kule kwa wakubwa. Wengine karibuni mdadavue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani hii ni kama serikali inakuwa inajua hadi nguo yako ya ndani. Kwa upande mwingine kama ulivyosema ni jambo zuri kiusalama lakini pia kwa mambo ya faragha (privacy) ni jambo baya.
 
Mataifa makubwa yote alama za vidole au macho ni kawaida sana sasa.
Kuanzia airports mpaka makosa ya jinai na hata makosa ya barabarani siku hizi wanachukua mate na kuhifadhi (kwa wazungu)

Duniani sasa ni kawaida kuchukua vidole na zote zinaingia kwenye mfumo mmoja
Kubali tu maana wakikukosa hapo hata kwenye kura zijazo au passport au hata kosa lolote

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Mkuu kama ni kwa matumizi ya serikali hakuna tabu, mi ningeshauri kuwe hata na national database tusisumbuane kila mahala unaregister upya.

Ila kitu ninachohofia ni data zetu kuuzwa, tumeona kwenye usajili mwanzo jinsi makampuni mbalimbali yalivyopata information zetu kupitia usajili wa line, unapigiwa simu na kampuni ya survey inajua kila kitu kuhusu wewe, ukiwauliza umepata wapi info wanajibu tigo wamewapa.
 
666...AntiChrist...It is more of spiritual things.

Sent using Samsung Galaxy
Kwa hiyo mkuu kale kachip nakokaona huko magharibi wakipandikizwa mkononi ni 666 ile.
Ki vipi inaweza kua 666 na mimi naona ni kachip ka kawaid kabisa tena kanaokoa mambo mengi kenyewe kanabeba utambulisho wako wote hutakua na haja ya kutembea na pasport, lesen au kadi ya benk ila inabeba kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inanikumbusha habari za nape kutunga sheria akidhani atakuwa waziri milele,saa hizi hata yeye inamkera,hata hawa jamaa wa TCRA,wanajiona wamefika,wako juu,kumbe nao watasitaafu na haya waliyosimamia kuyapitisha yatarudi kuwang'ata wao na vizazi vyao
 
Mkuu kama ni kwa matumizi ya serikali hakuna tabu, mi ningeshauri kuwe hata na national database tusisumbuane kila mahala unaregister upya.

Ila kitu ninachohofia ni data zetu kuuzwa, tumeona kwenye usajili mwanzo jinsi makampuni mbalimbali yalivyopata information zetu kupitia usajili wa line, unapigiwa simu na kampuni ya survey inajua kila kitu kuhusu wewe, ukiwauliza umepata wapi info wanajibu tigo wamewapa.

Ya, kweli jamaa walipata information zetu kiulaini sana na faida ya kuziuza juu. Na inaonekana uuzaji wa information unafaida sana kwasababu naona hadi Google sikuhizi huduma zao nyingi ni free lakini kunakuwa na mirija ya kunyonya information zako kwa ajili ya advertisement.
 
Ndio mkuu zina faida sana, zinapunguza gharama kwa kampuni kufanya matangazo yasiyo na maana,
 
Kwa hiyo mkuu kale kachip nakokaona huko magharibi wakipandikizwa mkononi ni 666 ile.
Ki vipi inaweza kua 666 na mimi naona ni kachip ka kawaid kabisa tena kanaokoa mambo mengi kenyewe kanabeba utambulisho wako wote hutakua na haja ya kutembea na pasport, lesen au kadi ya benk ila inabeba kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Japo hii plattform si ya religious issues ngoja nikuelezee kidogo...if you are a christian...kitabu cha ufunuo wa Yohana (Revelation)imeelezea vzuri kuhusu alama ya mnyama mpinga Kristo...wakati wa siku za mwisho watawekwa katika paji la uso na mkononi(right hand) ambapo utakuwa controlled(taarifa zako zote wanazo)...bila hyo alama hutoweza kuuza wala kununua means your surviving gonna be in real struggling...hapo itakuwa ni baada ya unyakuo yaani wakati wa dhiki kuu watakaobakia hapa duniani....I have friends in abdroad(Western countries) told me that by now sehemu kubwa ya Ulaya na America wanatumia cashless system yaani ni credit card yako tu...so from there unaona jinsi gani unaweza kuwa monitored kwa urahisi ukiwa kwny system zao.....There are lot of things I cannnot talk to you here but simply is like that.

Sent using Samsung Galaxy
 
Back
Top Bottom