Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,173
Hivi ile hadithi ya "2010 hautarudi bungeni" aliyoianzisha Waziri Mkuu asiye na sauti dhidi ya Kamanda Zito Kabwe, iliishia wapi?
Manake naskia Mzee Pinda alipita bila kupingwa, nikapatwa na hofu kwamba sasa kiama cha Kabwe kimefika.
Zito karudi Mjengoni au aliyosema mzee wa Mpanda yametimia?
Naomba kueleweshwa.
Manake naskia Mzee Pinda alipita bila kupingwa, nikapatwa na hofu kwamba sasa kiama cha Kabwe kimefika.
Zito karudi Mjengoni au aliyosema mzee wa Mpanda yametimia?
Naomba kueleweshwa.