Mnakumbuka nani aliwaita watu wazima "watoto" pale mjengoni?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Kuna watu wao ni very delicate hata kwa mambo madogomadogo ya kuupuzia lakini ni watu hao hao ambao ni wepesi na mabingwa wa kutumia lugha zisizo na "staha" kwa wengine.

Ukiacha kuita watu wazima watoto lakini ni mtu huyo huyo aliwaita majina ya ajabu ajabu watoto wa wenzake na kuwatimulia mbali.

Usilopenda kutendewa usitendee na wenzako.

Mungu anatuona jamani unless kuna watu mnawatafutia sababu tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom