Mnakumbuka nani alisema tufanye kazi na siasa mpaka 2020?

Kuongozwa na mtu asiyejua hisoria/ utawala na mambo mengi yanayoendelea ni hatari kubwa kwenye karne ya 21 huwezi kutumia nguvu halafu ubaki salama?
 
Huyu mtu amesahau alichosema?

Huyu mtu ni mkweli?

Huyu mtu ni wa kumuamini?

Je,huu si ushahidi kuwa kuna mengi anayosema hadharani ambayo si ya kweli?


"Msema kweli mpenzi wa Mungu"
Tatizo lako huwa unauliza maswali ambayo ni leading n obvious, km bado wapo mpaka leo ambao hawajajua kuwa he is purely a political conman hata usubiri 100 years hawataweza kuelewa, he doesn't worth your time, simply he is irredeemable
 
Back
Top Bottom