Mnakumbuka mauji ya watu 17 Mbeya/alitoroshewa Kenya interpoll sasa amerudishwa unategemea makubwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnakumbuka mauji ya watu 17 Mbeya/alitoroshewa Kenya interpoll sasa amerudishwa unategemea makubwa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by luckman, Nov 10, 2011.

 1. l

  luckman JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Ninamkubali sana sokoine, aliamini mtu akiharibu lazima asimamishwe kwani ufanisi wake hauwezi kuonekana tena manake ashaonesha kushindwa kazi. Miaka ya mbele zaidi walikuja wapuuzi wanaojiona wana akili, mtu akiharibu wenyewe wanamhamisha na kumpeleka kwingine.

  Huyu mtu mimi sina imani nae na utendaji wake na hali hii inaendelea kujidhihirisha wazi, yuko wapi Mapuri aliyeharibu magereza akafichwa ubalozi nchini china? Yupo wapi Rajab?

  Ni mengi lakini mjue tunaelewa na mwisho tutaamua wenyewe!!
   
 2. l

  luckman JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  kazi kweli kweli!
   
 3. l

  luckman JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  tumuombe mungu atunusuru
   
 4. l

  luckman JF-Expert Member

  #4
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  mhhhhhhhhhhhhhhhhh!!
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Nov 10, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwa hii serikali legelege mambo hayaishi hasa mabaya yake na mtoke sasa mwaachie wanaoweza
   
 6. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #6
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  The thread's contents and title highly mismatch. What did you intend to present?
   
 7. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #7
  Nov 10, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  mapuri yuko china anakula nyoka, huyu rajabu yuko kwa mzee wa kazi Satta, anafanya biashara ya shaba
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Nov 10, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Unamuongelea Said Mwema??
   
 9. l

  luckman JF-Expert Member

  #9
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  mwenye maskio na asikie, nadhani wafuatiliaji wa mambo mnakumbuka issue ya mbeya ya watu waliokufa 17!
   
 10. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #10
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Naona Jf inakuwa ukumbi wa mipasho na mafumbo sasa.
   
 11. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #11
  Nov 10, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Ulongo mtupu: Rajabu yuko kwa Jongwe, akienda kununua mkate anabeba zimbabwe dora kwenye kiroba- shida tupu
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Nov 10, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Atakuwa anaongelea mahabusu waliokufa Mbeya kwa kukosa hewa baada ya kuwekwa kwenye chumba kidogo. Kipindi hicho kamanda wa polisi wa mkoa alikuwa Said Mwema.
   
 13. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #13
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mkuu Katavi hilo nimemwelewa, anamzungumzia pia mtu aliyekimbilia Kenya na sasa amerudishwa na INTERPOL, hapa ndiyo anatakiwa kuacha mipasho na kueleza ni nani huyo? Si watu wote watakumbuka kila kitu kwenye sakata hilo. Na akumbuke pia threads zinaishi muda mrefu ni vema kuwa analytical in our presentations.
   
Loading...