Mnakumbuka kuna CEO fulani habari yake ya kutumbuliwa ilitolewa na Mkulu kanisani?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,011
144,371
Wakati kuna watu wanasema au kuonya swala la kuchanganya dini na siasa,ni vizuri watu hao wakakumbuka kuwa kuna CEO fulani alitumbuliwa ila intetion ya kumtumbua ligusuwa kanisani na baadae barua rasimi ya kumtumbua ikafuata mitandaoni.

Msifikiri hatukumbuki hilo jambo ambalo Mkulu aliliongea akiwa katika nyumba ya Ibada kabla ya utekelezaji wake kufuata muda mfupi baadae.
 
Sio hivyo tuu, hata watumishi wanapo msifu Mkuu na ku.uombea hawakemewi kama wana fanya siasa.
 
Wakati kuna watu wanasema au kuonya swala la kuchanganya dini na siasa,ni vizuri watu hao wakakumbuka kuwa kuna CEO fulani alitumbuliwa ila intetion ya kumtumbua ligusuwa kanisani na baadae barua rasimi ya kumtumbua ikafuata mitandaoni.

Msifikiri hatukumbuki hilo jambo ambalo Mkulu aliliongea akiwa katika nyumba ya Ibada kabla ya utekelezaji wake kufuata muda mfupi baadae.

"msifikiri hatukumbuki"

mkuu sio lazima uanzishe thread
 
Mkuu huu utawala unatumia kanuni ya "kunya anye kuku, akinya bata kaharisha". Maana yake ni kwamba kila wanachofanya wao kizuri, lkn kikifanywa na wengine kinakuwa kibaya
 
Wakati kuna watu wanasema au kuonya swala la kuchanganya dini na siasa,ni vizuri watu hao wakakumbuka kuwa kuna CEO fulani alitumbuliwa ila intetion ya kumtumbua ligusuwa kanisani na baadae barua rasimi ya kumtumbua ikafuata mitandaoni.

Msifikiri hatukumbuki hilo jambo ambalo Mkulu aliliongea akiwa katika nyumba ya Ibada kabla ya utekelezaji wake kufuata muda mfupi baadae.

Kama aliongea ina maana alienda au alialikwa kama rais. Hilo sio jambo geni hata kidogo. Viongozi wote wakuu wa nchi hii wamewahi kutoa matamko, maelekezo na maamuzi wakiwa katika nyumba za ibada. Rejea kwenye archive yako uje na hoja iliyoimarika
 
Back
Top Bottom