Mnakumbuka hiiii picha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnakumbuka hiiii picha?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Maria Roza, Mar 7, 2011.

 1. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,753
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  [​IMG][​IMG]


  Ipe maneno na wataalamu wa body language tufafanulieni!!!:usa2::usa2:
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 7,346
  Likes Received: 447
  Trophy Points: 180
  Naona kama mdhungu anaogopa kukumbatiwa na chui, ni maoni tu.
   
 3. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,753
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145

  Naona mama Bush amepigwa na butwaa la ajabu!
   
 4. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 7,346
  Likes Received: 447
  Trophy Points: 180
  kumbe na wewe umeliona eeh, hivi huyu chuichui anamshuri wa mavazi?!, maana siku nyingine alitinga kwenye mkutano na kanga a.k,a bango limeandikwa "we cherish peace".
   
 5. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,531
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Mama Bush kavaa kama kafika msibani vile
   
 6. ghumpi

  ghumpi Senior Member

  #6
  Mar 7, 2011
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 187
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  our firt laddy very beautifull. Africa ooyeeee!! mzungu kapauka kama karatasi
   
 7. Kyakya

  Kyakya JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2011
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 397
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Huo u-beautiful wa kiafrika sijauona bado hapo!
   
 8. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #8
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,451
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mmhh kama ameona jongoo kwenye kifua cha chuichui
   
 9. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #9
  Mar 7, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 2,425
  Likes Received: 2,957
  Trophy Points: 280
  Hawa ndiyo wanaosababisha chui wanapungua
   
 10. damper

  damper Senior Member

  #10
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hamna jema nyie mkitazama kitu kwa nagative side cku zote itakuwa hivyo hivyo lakini ni kwenu tu. Kwangu mi amependeza.
   
 11. Mr.Professional

  Mr.Professional JF-Expert Member

  #11
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,601
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  mama chui:ngoja nikuze cv yangu kwa kumkumbatia mke wa bush. Mbona mashoga zangu watanikoma mpaka mume amalize muda wake wa urais nitakuwa nimekula bata za kutosha.

  Mama bush: Hivi hyu mbona hajui hata protocols za salamu au kwa kuwa amevaa chui basi anataka kusalimia kichuichui pia. Halafu amekaa madarakani na mumewe kwa siku chache tu cheki shavu utadhani kitimoto sio bure ni lazima atakuwa fisadi.
   
 12. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #12
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,814
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  mdhungu: Mmh hili lichui si ndilo fisadi likilotumia fedha za watz kwenye kampen za mkwere...??? nadhani ni la kuogopwa kama ukoma''
   
 13. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #13
  Mar 7, 2011
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Hili vazi la Chui kweli lilionekana kumkwaza Mama Bush unajua wenzetu wanamasuala ya haki za wanyama...apate mshauri wa mavazi maana ingekuwa ni hafla ya watetezi wa haki za wanyama wange m boooo
   
 14. Papaeliopaulos

  Papaeliopaulos Senior Member

  #14
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Alikuwa anawaombolezea wabongo wanavyoteseka na umaskini na maradhi
   
 15. Papaeliopaulos

  Papaeliopaulos Senior Member

  #15
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Alikuwa anawaombolezea wabongo wanavyoteseka na umaskini na maradhi<!-- google_ad_section_end -->
   
 16. k

  kukuna Member

  #16
  Mar 7, 2011
  Joined: May 26, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi naona anafikiria sijui chui wangapi wametumika kutengeneza hili koti..........
   
 17. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #17
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,610
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mdhungu atakua anamuhurumia alivo umuka.
   
 18. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #18
  Mar 7, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,756
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Lugha gongana kiingereza na kikwere
   
 19. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #19
  Mar 8, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,753
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Ngoja akutane na watetezi wa haki za wanyama!!
   
 20. N

  Navoyne JF-Expert Member

  #20
  Mar 8, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 829
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 60
  Mama bush anashanga first lady haogopi watu wa animal rights
   
Loading...