Mnakumbuka haya Mafiati, na Madereva wake walikuwa Wasomali!!!!!

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
579368_442714262422756_358543957_n.jpg
 
Yahhee! Yahhee!

682 Fiat!
Inaweza pakia tani zaidi ujuavyo!
Na spear yake waweza okota hata pembezoni mwa road!
 
nASIKIA MATAJIRI WA KISOMALI WENYE MALORI HAPA BONGO LAZIMA WAMILIKI MOJA KAMA HILO KATI WA MAGARI YAKE YOTE
 
Enzi hizo udereva ulikuwa kazi ya heshima, sio leo kila mama ana gari yake fujo tuu barabarani mnakanyaga breki na mwendo umeshapungua kabisaaa ndio mnawasha indiketa, poh!
 
kirefu cha fiat ni FABIANO (MGUNDUZI)ITALIANO NCHI YAKE) AUTOMOBILE TORINO (MJIWAKE)

Fabricandol Italian e Automobile Transporte

Naomba muangalie kifefu chake vizuri kwenye website yao ama wikipedia.
Wao wanasema '
'Fiat was founded On 11 July 1899 at Palazzo Bricherasio,
the company charter of “Società Anonima Fabbrica Italiana Automobili Torino” was signed. Among the members of the Board of Directors, Giovanni Agnelli stood out in the group of investors and won recognition for his determination and strategic vision. In 1902 he became the Managing Director of the company.

Hata hivyo bado nazivulia kofia gari zao, ni imara sana kama Land Rover 109.

Chanzo: HAPA

 

Naomba muangalie kifefu chake vizuri kwenye website yao ama wikipedia.
Wao wanasema '
'Fiat was founded On 11 July 1899 at Palazzo Bricherasio,
the company charter of "Società Anonima Fabbrica Italiana Automobili Torino" was signed. Among the members of the Board of Directors, Giovanni Agnelli stood out in the group of investors and won recognition for his determination and strategic vision. In 1902 he became the Managing Director of the company.

Hata hivyo bado nazivulia kofia gari zao, ni imara sana kama Land Rover 109.

Chanzo: HAPA



Pale Mbeya walikuwa na sehemu ya kupaki hayo magari kwa mapumziko ya safari pakaitwa Mafiati hilo jina linadumu mpaka leo Kijana wa leo hawezi kujua kwa nini sehemu hiyo iliitwa hivyo .
 
Back
Top Bottom