Mnakumbuka enzi ya decoda ya Startimes Tshs 22000 na kifurushi 4000 kwa mwezi? Hawa Wachina wametutoa mbali jamani

Wakati anaanzisha hii huduma kuna watu walikaa zaidi ya mwaka bila kulipia na channel zote wanaangalia (mwezi mmoja ofa ndio ilizaa haya) shida ilikuwa ukipata tatizo ukawapigia simu channel zinakata mazima mpaka ulipie
 
Daaah umefukua huu uzi aisee

Kipindi kile walikua poa sana sahv kifurushi elfu kumi na mmoja tamaa inawaendesha
Wakati anaanzisha hii huduma kuna watu walikaa zaidi ya mwaka bila kulipia na channel zote wanaangalia (mwezi mmoja ofa ndio ilizaa haya) shida ilikuwa ukipata tatizo ukawapigia simu channel zinakata mazima mpaka ulipie
 
Nina cha Antenna full channel sijalipia kama miezi mitano hivi ila nacheck movie kali kali za kizungu st zone, kuna ya uharifu ID, kuna st sino drama yani nyingi tu nakula life, pongezi kwa serikali ya awamu ya tano😂😂🙉
 
Siku. Zote?
Nina cha Antenna full channel sijalipia kama miezi mitano hivi ila nacheck movie kali kali za kizungu st zone, kuna ya uharifu ID, kuna st sino drama yani nyingi tu nakula life, pongezi kwa serikali ya awamu ya tano
 
Back
Top Bottom