Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,269
- 675
Speak sense you creature.Tunautakia mkutano mafanikio mema. Mtafurahia, mtanufaika na busara za JK. Hakuna mwenye ubavu wa kufanya maandamano dhidi ya Chaguo la Mungu. Maandamano yanaishia kuwa mawazo ya kishenzi ya baadhi ya wapuuzi wa CDM walioko Bongo.
Mawazo mgando hayo, huyo jamaa anafilisi taifa letu ambalo ni maskini saana kwa udhurumati wa CCM na viongozi wake!!!!!!!!!!!Tunautakia mkutano mafanikio mema. Mtafurahia, mtanufaika na busara za JK. Hakuna mwenye ubavu wa kufanya maandamano dhidi ya Chaguo la Mungu. Maandamano yanaishia kuwa mawazo ya kishenzi ya baadhi ya wapuuzi wa CDM walioko Bongo.
Speak sense you creature.
Mtafurahia, mtanufaika na busara za JK..
I think you are the one who does not know the real meaning of sense coz to you common sense is not that common. What has it got to do with Dr. Slaa???? acha hizoBi Mkora, do you know the meaning of sense?..... may be if I say 'Slaa hates infidelity and poaching of other people's spouses' ...that will make sense to you?
Tunautakia mkutano mafanikio mema. Mtafurahia, mtanufaika na busara za JK. Hakuna mwenye ubavu wa kufanya maandamano dhidi ya Chaguo la Mungu. Maandamano yanaishia kuwa mawazo ya kishenzi ya baadhi ya wapuuzi wa CDM walioko Bongo.
rais aliyetia fora kwa kuwa na ulinzi mkubwa
hata ndani ya nchi yake plus ambulance!
kishongo shoga au nimekosea jina lako??? chaguo lamungu alikuwa yesu pekee yake! ameshindwa kufanya jambo hata moja la kutengeza legacy yake labda watu watamkumbuka kuwa ni mtu alisafiri sana kuliko maraisi wote duniani! na ni mtu ambaye ataacha matatizo mengi katika nchi yake tangu ardhi iumbewe miaka million 2 iliyopita!
<br />Mawazo ya binadamu aliyetafunwa ubongo utayajua, kwani kipimo chake cha kufikiri hakizidi urefu wa pua yake.Ilikuwa wapi na lini ulipata kuongea na MUNGU kwamba hili ndo chaguo lake.Ondoa ukurutu humu jamvini