Mnajiona wazuri afu mnataka wakuwaowa

MAKRESH MMAKA

Senior Member
Apr 14, 2013
155
19
Ninyi wadada mnaojiona ni warembo na mnavutia mnapopata wanaume wenye nia za kuwaowa mnawadampu na kuwachezea kama paka alieshiba xaxa anachezea paka eti kisa nyie ni warembo mnataka wanaume mahb tena unajiona warembo kwenye dressing table zenu za kichina vyumbani mwenu xaxa kwa namna hiyo labda muolewe na dressing table zenu unataka handsome jiulize baba yangu ni handsome mbona anaish vzur na mama
 
Pole sana mkuu,jaribu type za kawaida,achana na high class
 
Ninyi wadada mnaojiona ni warembo na mnavutia mnapopata wanaume wenye nia za kuwaowa mnawadampu na kuwachezea kama paka alieshiba xaxa anachezea paka eti kisa nyie ni warembo mnataka wanaume mahb tena unajiona warembo kwenye dressing table zenu za kichina vyumbani mwenu xaxa kwa namna hiyo labda muolewe na dressing table zenu unataka handsome jiulize baba yangu ni handsome mbona anaish vzur na mama
Be Logic blablaa nyingi za nini.??
na huo uandishi wako wa FB huko huko hapa ni JF
 
Sio kila mwanamme atongozae basi ni wakuolewa naye!

Kama ulikataliwa basi ujue wee si type yake!!!!!
 
Ninyi wadada mnaojiona ni warembo na mnavutia mnapopata wanaume wenye nia za kuwaowa mnawadampu na kuwachezea kama paka alieshiba xaxa anachezea paka eti kisa nyie ni warembo mnataka wanaume mahb tena unajiona warembo kwenye dressing table zenu za kichina vyumbani mwenu xaxa kwa namna hiyo labda muolewe na dressing table zenu unataka handsome jiulize baba yangu ni handsome mbona anaish vzur na mama

Uandishi wako wa hovyo ndio reflection ya ulivyo_ndio maana wanakusumbua,..wanawake makini wanapenda mwanaume makini.
 
sio kila mwanamme atongozae basi ni wakuolewa naye!

Kama ulikataliwa basi ujue wee si type yake!!!!!

sio kukataliwa swala ni kwamba mnakubaliana afu anakuletea uzuri kwa kuwa anajitazama kwenye kioo na kujiona mzuri alaf analalamika hapati wa kumuoa wakati wanaume wa kweli anawapata na kuwachezea eti anataka handsome
 
Back
Top Bottom