Mnajenga Hospitali za nini?

sinajinasasa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
2,989
4,129
Watu ni wajinga sana, kitu cha maana wanachokiona ni kujengewa zahanati kila kijiji, lakini nawaambia hivi Medical system yoyote pale duniani zinafanana kwa principle zake za uendeshaji.

Medical system haipo kwa ajili ya kutibu na kufuta magonjwa bali kuyaongeza na kuyaongeza zaidi, watu hamshituki kila kukichwa watu mnafia huko hospitali, na bado huendi hospitali unaenda duka la dawa hapo jirani kununua sumu, unakunywa ukizidiwa unaenda kumalizwa huko hospitali.

Tena hawa medical system wanashirikiana na taasisi za serikali kama hizi FDA ya Food and Drug Authority kukataza vitu sahihi kwenye vyakula ila mnaruhusu synthetic foods bila kuwasahau Food and Drinks industries mnajijua kuzalisha vyakula na vinywaji kisha mnatia 'sumu' ili watu wawe wagonjwa na then kwenda hospitali kutibiwa.

Kwa hiyo kujenga zahanati na maduka ya dawa kila sehemu ni kupeleka magonjwa zaidi na tabu

Pia kuna network nyingine ya waandishi wa habari wajinga kuzuia mabango kama haya kuwafikia watu

Ahsanteni sana kwa kusoma mimi njaa inauma sasa.
 
What's the Alternative?

Ingawa Nakubaliana na Ukweli kwamba Hospitali Sio Majengo bali ni zaidi ya hapo ila wewe naona umezidi kwenye conspirancies
 
Sasa wajenge nini kama mbadala mkuu?

Mtu amevunjika mguu aende wapi kama sio hospital? Wamama wajifungue tu nyumbani kwa wakunga kama enzi za kale?

Kuna mkakati wowote unaona unaweza kutekelezeka kuzuia hizo unaita sumu zisiendelee kuuwa wananchi?

Ukishiba naomba haya majibu tafadhali.
 
Huu nao ni wendawazimu, unabwabwaja tu bila kutoa way forward
 
Kama gereji za magari zinaongezeka, na hospitali ni vizuri zikaongezeka; kwa sababu gereji ya mwanadamu ni hospitali
 
Watu ni wajinga sana, kitu cha maana wanachokiona ni kujengewa zahanati kila kijiji, lakini nawaambia hivi Medical system yoyote pale duniani zinafanana kwa principle zake za uendeshaji.

Medical system haipo kwa ajili ya kutibu na kufuta magonjwa bali kuyaongeza na kuyaongeza zaidi, watu hamshituki kila kukichwa watu mnafia huko hospitali, na bado huendi hospitali unaenda duka la dawa hapo jirani kununua sumu, unakunywa ukizidiwa unaenda kumalizwa huko hospitali.

Tena hawa medical system wanashirikiana na taasisi za serikali kama hizi FDA ya Food and Drug Authority kukataza vitu sahihi kwenye vyakula ila mnaruhusu synthetic foods bila kuwasahau Food and Drinks industries mnajijua kuzalisha vyakula na vinywaji kisha mnatia 'sumu' ili watu wawe wagonjwa na then kwenda hospitali kutibiwa.

Kwa hiyo kujenga zahanati na maduka ya dawa kila sehemu ni kupeleka magonjwa zaidi na tabu

Pia kuna network nyingine ya waandishi wa habari wajinga kuzuia mabango kama haya kuwafikia watu

Ahsanteni sana kwa kusoma mimi njaa inauma sasa.
Yes, miili yetu Mungu aliiumba ikiwa na kinga ya asili ya kujitibu yenyewe. Madawa ya viwandani huharibu kinga asili na kuufanya mwili uanze kuwa tegemezi kwa hayo madawa sumu. Mleta mada uko sahihi.

YESU NI BWANA NA MWOKOZI
 
Kama kilichobaki ni kuponda miradi iliyo hai na inayoonekana, ina maana Rais Samia ameonyesha kuwa ameweza kufanya mambo makubwa kwa muda mchache. Seriously? Mtu anaponda ujenzi wa hospital!

Spidi ya Mama ni kubwa mno kuliko ilivyotegemewa! Bado watahamia kuponda kwenye ujenzi wa madarasa watasema tunaanda matahira, reli na treni zinaleta ajali, ajira zinasababisha wasomi wasijiajiri, Ambulance zitaleta Corona, barabara zinaleta ajali, upandishaji madaraja na mishahara anawaonea wanyonge, mazao ya kilimo kupanda bei inasababisha mfumuko wa bei....

Kila zuri wanalitia au watalitia ubaya. Waafrika nani katuroga!?
 
Watu ni wajinga sana, kitu cha maana wanachokiona ni kujengewa zahanati kila kijiji, lakini nawaambia hivi Medical system yoyote pale duniani zinafanana kwa principle zake za uendeshaji.

Medical system haipo kwa ajili ya kutibu na kufuta magonjwa bali kuyaongeza na kuyaongeza zaidi, watu hamshituki kila kukichwa watu mnafia huko hospitali, na bado huendi hospitali unaenda duka la dawa hapo jirani kununua sumu, unakunywa ukizidiwa unaenda kumalizwa huko hospitali.

Tena hawa medical system wanashirikiana na taasisi za serikali kama hizi FDA ya Food and Drug Authority kukataza vitu sahihi kwenye vyakula ila mnaruhusu synthetic foods bila kuwasahau Food and Drinks industries mnajijua kuzalisha vyakula na vinywaji kisha mnatia 'sumu' ili watu wawe wagonjwa na then kwenda hospitali kutibiwa.

Kwa hiyo kujenga zahanati na maduka ya dawa kila sehemu ni kupeleka magonjwa zaidi na tabu

Pia kuna network nyingine ya waandishi wa habari wajinga kuzuia mabango kama haya kuwafikia watu

Ahsanteni sana kwa kusoma mimi njaa inauma sasa.
Watakuelewa wachache sana wenye akili tu. Uliwahi kumsikia hata waziri wa afya akiongelea sukari ktk chakula na vinywaji vya viwandani, ona pipi ulizotafuna zilivyokutoboa meno. Siku hizi vijana wadogo pressure juu kisa mikorie!!!!!
 
Back
Top Bottom