Mnaita wawekezaji warudi ili muwakamate? Tulidhani Rais anataka kufufua uchumi

Kwa kifupi hapa tumekosea. Manji hakukimbia nchini aliondoka.

Mlikuwa wapi akiondoka hadi mumkamate mtu Airport wakati anarudi nyumbani?

Hii ni sifa mbaya kama Taifa linalohitaji uwekezaji mkubwa for economy recovery.

Muelewe wafanyabiasha wakubwa wana vyama vyao na network yao kwa hiyo wanaelezana kinachoendelea.

Ukweli swala la Manji hekima inahitajika itumike sana na kama kuna mzimu wa Magufuli huko bado unazurura wenye huo mzimu waondolewe.

Unless Rais alivyosema kazi iendelee bado anapambana na matajiri chini kwa chini kumuenzi mwendazake alivyosema matajiri wataishi kama mashetani kwenye utawala wake.

Mtu haweza kuja kuwekeza millions of dollars kwenye nchi ya watu wajinga kama hii wanaoishi na visasi na wivu kutokupenda maendeleo ya mtu mwingine.

Hata kama mtu mnamdai mnashindwa kukaa naye mkaongea kwa maslahi mapana ya sekta ya uwekezaji.

Watanzania tujitafakari kama kweli tuko serious na tunahitaji maendeleo.

Hawa watu walioajiriwa na Magufuli wenye tabia za Ole Sabaya ni wakuondoa.

Wamejaa visasi kama Boss wao alivyokuwa. Wivu umewajaa.
Ishu zilizo mahakamani humalizwa mahakamani. Hata kama mama ana nia ya kuwakatisha tena lazima mchakato wa mahakama ipite awe exonerated mahakamani ndipo apewe nafasi ya kurestart. Kwa sababu ya Nia njema ya mama hayo mashtaka yatamalizwa tu kiutu uzima na ataingia uraiani kwa sababu kila mtu anajua yalikuwa ni mashtaka ya kubambikiwa na chuki na uonevu. Ninaamini mama bado yuko kwenye rait trak
 
ana kesi ya kujibu...yule sio wa kmtetea hata kidogo.........usiingize u-yanga wako kwenye ishu za kuhujumu uchumi.......
 
Kwa mambo aliyofanya manji kwa nchi yetu alitakiwa awe ameshanyongwa kuwa hai ni salama kwake katuibia sana kenge huyu
 
Back
Top Bottom