Mnaisingiazaga CCM eti inaiba kura: CHADEMA je?

lendomza

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
396
228
MAHAKAMA KUU YA
ARUSHA YATENGUA
USHINDI WA MBUNGE
ONESMO OLE NANGORO

je huyu mbunge ni CCM au chadema?kama walicheza rafu za kura kwenye ubunge ina maana kwenye kura za urais waliacha rafu hizo?

sitaki matusi nataka hoja!!
 
UK. La. Za unausika apo tafta odds ratio ni ngapi kama unajua research.!
 
MAHAKAMA KUU YA
ARUSHA YATENGUA
USHINDI WA MBUNGE
ONESMO OLE NANGORO

je huyu mbunge ni CCM au chadema?kama walicheza rafu za kura kwenye ubunge ina maana kwenye kura za urais waliacha rafu hizo?

sitaki matusi nataka hoja!!
Wewe hoja yako ni Ipi??
 
MAHAKAMA KUU YA
ARUSHA YATENGUA
USHINDI WA MBUNGE
ONESMO OLE NANGORO

je huyu mbunge ni CCM au chadema?kama walicheza rafu za kura kwenye ubunge ina maana kwenye kura za urais waliacha rafu hizo?

sitaki matusi nataka hoja!!
Huna hoja...
 
Ikiwa Mkurugenzi Ni Kada Wa CCM Pia Ndio Anakuwa Msimamizi Wa Uchaguzi Wa Jimbo. Hivi Chama Cha Upizani Kinawezaje Kuiba Kura??
 
MAHAKAMA KUU YA
ARUSHA YATENGUA
USHINDI WA MBUNGE
ONESMO OLE NANGORO

je huyu mbunge ni CCM au chadema?kama walicheza rafu za kura kwenye ubunge ina maana kwenye kura za urais waliacha rafu hizo?

sitaki matusi nataka hoja!!
KAKA HAO CDM UTAWAWEZA? KILA SIKU WANASINGIZIA WAMEIBIWA. LETENI USHAHIDI HAWANA! BASI INAKUWA KITUKO TU!
 
Hata kura za urais machadema yaliiba sana.

Hadi viongozi Wa ccm waliowasaidia kuiba kura ,walilipwa fadhila ya kupewa ubunge wa viti maalumu chadema.!!!
 
Back
Top Bottom