Mnaikumbuka ripoti ya CCM kuhusu kupungua kwa rushwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnaikumbuka ripoti ya CCM kuhusu kupungua kwa rushwa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kamanda, Feb 26, 2008.

 1. Kamanda

  Kamanda Senior Member

  #1
  Feb 26, 2008
  Joined: Dec 5, 2007
  Messages: 135
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Wapambanaji ndani ya JF

  Nimeamua kuwashirikisha katika taarifa ya tathmini ya rushwa iliyotolewa na Chama Cha mapinduzi mwaka 2005 ili tushiriki kuona kama ufisadi umepungua au umeongezeka kwa kulinganisha na hali ya sasa.

  Nimeongea na Katibu Mkuu wa chama hicho, Yusuf Makamba,kwa uchokozi tu, nikitaka kupata mtazamo wake, yeye anadai rushwa imepungua sana, akisema matukio ya Richmond, BoT na EPA ni ya muda.

  Anasema kwa hali ilivyo sasa, ukiacha matukio yale ya kifisadi, rushwa imepungua. Akaniuliza; "Hivi sasa umesikia mtu amekamatwa na rushwa? Heee makubwa.

  Sasa nime-attach tahthmini hiyo hapa.

  Yuitafakari jamani, then tupashane mawazo ya kila mmoja wetu
   

  Attached Files:

 2. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #2
  Feb 26, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Hakuna muda ambao CCM imewahi na Viongozi hohehahe kama wakati huu .Makamba ni Kilaza wa kupindukia na sijui what keeps him a an SG for CCM.Unapoteza muda wako kuongea na Makamba mtu ambaye ameshindwa hata ku secure uchaguzi wa Serikali ya mtaa kwao na kila cheo kwake ni kuteuliwa ? Ni bingwa wa kujipendekeza na kughani Jukwaani lakini kichwani sijui .
   
Loading...