Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,013
- 144,371
Wakati wengi mnaipongeza na kuisifu hotuba ya Mwigulu,nawashauri muipitie upya hotuba ya Raisi Kikwete wakati anazindua Bunge kwa mara ya kwanza mwaka 2005 baada ya kuingia madarakani na namna alivyoongoza nchi hii na kisha mumpime Mwigulu pamoja na hotuba yake huku mkizingatia ukweli kuwa wote wanatoka chama kimoja.
Sina mengi zaidi wenye akili watanielewa.
Sina mengi zaidi wenye akili watanielewa.