Mnaikumbuka hii?

CTX

JF-Expert Member
Jan 3, 2015
1,273
984
22853037_188192511752197_1513922533764104885_n.jpg
 
Nakumbuka kuna jamaa fulani, simfahamu, alirushwa kwenye media kavaa koti oversized la draft anakunywa kwa madaha kikombe cha "ze old babu"! Sijui alikuwa anagonjoka nini? Well, the time is now and shall tell us nothing but the truth itself!
 
  • Thanks
Reactions: CTX
nasikia wengi walishiriki hicho kinywaji wako mbele ya haki...
hii kitu niliipinga kwa kubishana na mdau mmoja hadi akanichukia.
miti shamba ni dawa ila sio dawa ya kutibu faster
 
Kisha tukasindikiziwa na korasi ya mwisho wa dunia.


Mwaka 2011 Ulikuwa wa kufarihisha kweli.
 
nadhani hakuna kipindi loliondo ilipata jina kama kipind hicho,
 
Unastaajabu hii,wakati akina gwajima wamekuja na staili kali zaidi amefufua
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom